Apps.pittsburghpa.gov

?Viwanja vya michezo na Vistawishi vingine kufunguliwa tena katika Bustani za jijiPITTSBURGH, PA (Juni 8, 2020) Viwanja vya michezo vya Pittsburgh, viwanja vya mpira wa vikapu, bustani za spray parks na viwanja vya mpira vitafunguliwa tena wakati Kaunti ya Allegheny ikiwa imeingia katika hatua ya kijani ya kukabiliana na janga la COVID-19.??Michezo iliyoandaliwa itaruhusiwa kuanza tena - mradi waandaaji watafuata miongozo ya usalama - na vibali vitaruhusiwa tena kwa kukodishwa kwa viwanja vya mpira na bustani za sehemu-wazi.?Uga wa Mellon Tennis Bubble utafunguliwa kwa kiwango cha?50% cha nafasi zilizoko ndani.??Vibali vya Block party na vibali maalum vya hafla za nje kwa vikundi vitaruhusiwa kwa vikundi vya hadi wahudhuriaji 250, ingawa lazima vihusishe mpango wa usalama wa COVID-19 (pamoja na kunawa mikono na itifaki ya kujitenga kijamii).?Matumizi ya huduma nyingi katika bustani za Jiji HYPERLINK "" \t "_blank" zimesimamishwa tangu katikati ya mwezi wa Machi . Kufunguliwa upya kwa huduma za bustani kutafanywa kwa msingi wa moja-baada-ya-nyingine ingawa nyingi zinapaswa kukamilika kufikia Jumatatu, Juni 15.?Wahudumu kutoka Idara ya Kazi za Umma wanarekebisha viwanja vya mpira na sehemu zingine wiki hii, na watakuwa wakichapisha alama za matumizi ya usalama. Wakati wahudumu wanajizatiti kusafisha maeneo ya uwanja wa kucheza mara kwa mara, wazazi na walezi wanahimizwa kuhakikisha kuwa watoto wanaosha mikono na wasitumie viwanja vya michezo ikiwa ni wagonjwa.?Vyoo, chemchemi za maji, mabwawa ya kuogelea, vituo vya starehe na vituo vya wazee vinabaki vimefungwa. Wale wanaotumia bustani za Jiji wanahimizwa kuleta maji yao wenyewe ya kunywa kwa kuwa chemchemi zinabaki zimefungwa.? ................
................

In order to avoid copyright disputes, this page is only a partial summary.

Google Online Preview   Download