MWONGOZO WA MWALIMU WA KUFUNDISHIA ELIMU YA AWALI

TAASISI YA ELIMU TANZANIA

MWONGOZO WA MWALIMU WA KUFUNDISHIA ELIMU YA AWALI

TAASISI YA ELIMU TANZANIA

MWONGOZO WA MWALIMU WA KUFUNDISHIA ELIMU YA AWALI

? Taasisi ya Elimu Tanzania Toleo la Kwanza, 2016

ISBN. 978 - 9976 - 61- 429 - 9

Mwongozo huu umetayarishwa na: Taasisi ya Elimu Tanzania Kitalu Na. 686, Barabara ya Ali Hassan Mwinyi S. L. P. 35094 Dar es Salaam Simu: 255 - 22 - 2773005 Nukushi: 255 ? 22 - 277 4420 Tovuti: tie.go.tz Baruapepe: director.general@tie.go.tz

Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kuiga, kunakili, kutafsiri, kupiga chapa au kutoa andiko hili kwa namna yoyote ile bila idhini ya Taasisi ya Elimu Tanzania.

YALIYOMO

SHUKRANI ...............................................................................................................................iv DIBAJI ......................................................................................................................................... v VIFUPISHO ............................................................................................................................... vi UTANGULIZI ..........................................................................................................................vii SURA YA KWANZA: UCHAMBUZI WA MTAALA...........................................................1 1.1 Dhana ya Mtaala Unaojenga Umahiri...........................................................................1 1.2 Vifaa vya Mtaala Vinavyosaidia Kujenga Umahiri ......................................................1 1.3 Uhusiano Kati ya Mtaala na Vifaa Vyake .....................................................................3 SURA YA PILI: UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI WA WATOTO WA ELIMU YA AWALI ....................................................................................................................4 2.1 Dhana ya Ufundishaji na Ujifunzaji ............................................................... .............. 4 2.2 Mbinu za Kufundishia na Kujifunzia Zinazojenga Umahiri .....................................5 2.3 Zana za Kufundishia na Kujifunzia ................................................................ ..............5 2.4 Elimu Jumuishi ................................................................................................................6 2.5 Taratibu za Kutekeleza Ratiba ya Kila Siku ..................................................................7 SURA YA TATU: UPIMAJI WA MAENDELEO YA MTOTO KATIKA ELIMU YA AWALI ....................................................................................................................9 3.1 Dhana ya Upimaji wa Maendeleo ya Mtoto .................................................. ..............9 3.2 Aina za Upimaji..............................................................................................................11 3.3 Zana za Upimaji ............................................................................................... .............11 3.4 Tathmini ya Maendeleo ya Mtoto ................................................................................13 SURA YA NNE: MCHAKATO WA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI WA UMAHIRI ................................................................................................................ ................14 4.1 Maandalizi ya Ufundishaji ............................................................................................14 4.2 Kuwawezesha Watoto Kujenga Umahiri ....................................................................16 REJEA ........................................................................................................................................53 VIAMBATISHO .......................................................................................................................54

SHUKRANI

Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) inatoa shukrani kwa wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine katika kufanikisha uandishi wa mwongozo huu. Shukrani hizi zinatolewa kwa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam, Chuo cha Ualimu Singachini, Mhonda na Montessori-Msimbazi, Shule ya awali Chang'ombe, Tusiime na Mwere B na Idara ya Uthibiti Ubora - Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (WEST). Aidha, TET inatoa shukrani kwa shirika la kimataifa la kuhudumia watoto UNICEF Tanzania kwa ufadhili ambao umefanikisha uandishi wa mwongozo huu.

Dkt Elia Y. K. Kibga Kaimu Mkurugenzi Mkuu Taasisi ya Elimu Tanzania

iv

................
................

In order to avoid copyright disputes, this page is only a partial summary.

Google Online Preview   Download