DOC Constitution of Kenya Review Commission

Tumeshirikishwa katika wadhifa na nyathfa mbali mbali, lakini tuko hapa kwa makusudi moja, kushauriana na kushirikiana, kukarabati Katiba ya jamuhuri ya Kenya. Mungu tulianza na wewe, kitambo cha miaka tisa, na hasaa katika kikao hichi cha tatu cha Bomas. Tulikuuliza uwezo wako ukashuke mahali hapa na tumeona mkono wako siku baada ya siku. ................
................