SHULE YA SEKONDARI CANOSSA - Mwalimu Wa Kiswahili

4. Fafanua mambo matano (5) yanayomtabulisha mtu kuwa ni mjuzi wa lugha. 5. Eleza tofauti iliyopo kati ya viambishi na mofimu. Dhihirisha tofauti hizo kwa mifano. 6. Fafanua aina za tungo kwa kutoa mfano mmoja kwa kila tungo. 7. Maneno yanayotumiwa sana na watunzi wa kamusi ni vidahizo, vitomeo na visawe. Eleza kwa kifupi maana ya maneno hayo. ................
................