Simon Ockley

Simon Ockley

(1678-1720) Profesa wa lugha ya kiarabu katika chuo kikuu Cambridge:



¡°Jambo moja maalum ambalo lapaswa kugunduliwa kwa Ali, ni kwamba

mama yake alimzaa Makka ndani ya Al-Kaaba, ambapo haijawahi kutokea

kwa mtu yeyote.¡±

Namna hii anakubainishieni Mwenyezi Mungu Aya zake ili

mpate kufahamu

(Qur'an 2:242)

[History of the Saracens, London, 1894, Uk. 331]



Washington Irving

(1783-1859) Aalijulikana kama ¡°The first American man of letters¡±:



"Ali alikuwa anatokana na tawi lenye heshima kuu katika matawi ya

kikureishi. Alikuwa na sifa tatu zilizokuwa zikitukuzwa sana kwa waarabu:

Ujasiri, ufasaha na ukarimu. Moyo wake usio na hofu ulimpatia sifa kutoka

kwa Mtume ya kuwa simba wa Mungu, mifano ya ufasaha wake imebaki

katika baadhi ya semi na kuhifadhiwa miongoni mwa waarabu; na ukarimu

wake ulionekana dhahiri katika kupenda kwake kugawanya na watu, kila

siku ya ijumaa, kile kilichobaki katika hazina. Kuhusu utukufu wake,

tumetoa mifano mara kwa mara; utukufu wake ulichukia kila kitu chenye

udanganyifu na uchoyo."

Wasiokuwa Waislamu wanasema

nini juu ya ¡­

[Lives of the Successors of Mahomet, London, 1850, Uk. 165]



"Yeye alikuwa ni mmoja wa miongoni mwa wa mwisho na wenye thamani

miongoni mwa waislamu wa kale, ambaye alikusanya nguvu ya kidini kwa

ushindi akiwa na Mtume mwenyewe, na kufuata ruwaza ya mwisho kabisa

ya Mtume Muhammad. Yeye ni mtu anayetajwa kwa heshima kama khalifa

wa kwanza aliye kirimu na kulinda elimu. Alikuwa ndani ya mashairi yeye

mwenyewe, na nyingi miongoni mwa methali na semi zake zimehifadhiwa

na kufasiriwa katika lugha mbalimbali. Pete lake ulikuwa na maandishi hili:

'Ufalme ni wa Mwenyezi Mungu'. Moja katika semi zake inaonyesha jinsi

alivyokuwa hathamini vivutio vinavyopita tu vya dunia, ni (kusema kwake):

'Maisha ni kivuli tu cha mawingu - ndoto ya mwenye kulala.'"

'Ali

MRITHI WA KWANZA WA

MTUME MUHAMMAD

(Rehma na amani ziwe juu yao)

[Lives of the Successors of Mahomet, London, 1850, Uk. 187-8]



Robert Durey Osborn

(1835-1889) Meja wa kikosi cha the Bengal Staff Corps:



¡°Pamoja naye umepotea moyo hasa na Muislamu bora ambaye Historia ya

Mohammad imehifadhi kumbukumbu hiyo.¡±

[Islam Under the Arabs, 1876, Uk. 120]

kwaw kujua habari zaidi juu ya Imam 'Ali bin Abi Talib, tazama Tovuti:



v1.0

Imam Ali bin Abi Talib alikuwa ni mrithi wa Mtume

Muhammad, amani ziwe juu yao. Huu ni mkusanyiko wa

nukuu fupi fupi kumhusu yeye kutoka kwenye maelezo mbali

mbali ya wasomi wa imani nyingine, wakiwamo wanataaluma,

waandishi, wanafalsafa, washairi, wanasiasa na wanaharakati.

Thomas Carlyle

Dr. Henry Stubbe

(1795-1881) Mwanahistoria mskochi, mkosoaji, na mwandishi wa elimu ya jamii:

(1632-1676) Muhafidhina, Mwanafizikia, na mwanafalsafa:



¡°Kuhusu huyu kijana Ali, mtu yeyote atampenda tu. Ni kiumbe mwenye

akili kuu, kama anavyojionyesha yeye mwenyewe sasa, na kila siku na

baadaye; mwenye mapenzi maridhawa, mwenye ujasiri wa hali ya juu. Ana

uungwana; shujaa kama simba; huku akiwa na huruma, ukweli na mapenzi

yafaayo kwa imani ya kikristo.¡±



[On Heroes, Hero-Worship, And the Heroic in History, 1841, Hotuba 2: The Hero

as Prophet. Mahomet: Islam., Mei 8, 1840)]

¡°Hakuipenda dunia na mapambo yake bali alimcha sana Mwenyezi Mungu,

alitoa sadaka nyingi, alikuwa mwadilifu katika vitendo vyake vyote,

mnyenyekevu na mwepesi wa kuzoeana na watu; huku akiwa na maneno ya

ya haraka ya kufurahisha na ubunifu usio wa kawaida, alikuwa na elimu

maridhawa, sio elimu zinazoishia kwa maneno tu bali zinazoendelea kwa

vitendo.¡±

[An Account of the Rise and Progress of Mahometanism, 1705, Uk. 83]





Edward Gibbon

Gerald de Gaury

(1737-1794) Mwanahistoria mkuu wa kiingereza katika enzi zake:

(1897 - 1984) Mwanajeshi mahiri na mwanadiplomasia:



"Sifa kuu alizokuwa nazo Ali hazikuzidiwa na mbadilishaji dini yeyote wa

siku za hivi karibuni. Alichanganya sifa za kuwa ni mshairi, mwanajeshi, na

mcha Mungu; busara zake bado zinapatikana kwenye mkusanyiko wa

misemo yake ya kimaadili na ya kidini; na kila adui, kwenye vita vya

maneno au vya upanga, alishindwa na ufasaha na ujasiri wake. Kuanzia saa

ya mwanzo ya ujumbe wake wa dini mpaka mwisho wa ibada za kuzikwa

kwake, Mtume Muhammad hajaachwa kuwa na rafiki mkarimu, ambaye

alifurahishwa kwa kumwita kuwa ni ndugu yake, wasii wake, na kuwa yeye

(Ali) ni ¡®Harun mwaminifu¡¯ wa ¡®Nabii Musa¡¯ wa pili."



[Rulers of Mecca, London, 1951, Uk. 49]



Wilferd Madelung

Profesa wa lugha ya kiarabu, chuo kikuu cha Oxford:



[The Decline and Fall of the Roman Empire, London, 1911, Juz. 5, Uk. 381-2]



Philip Khuri Hitti

(1886-1978) Profesa wa lugha za kisemiti, Chuo kikuu cha Princeton:



¡°Shujaa vitani, mwenye busara katika ushauri, fasaha wa kuzungumza,

mkweli kwa marafiki zake, anayeheshimiwa na maadui zake. Yeye alikuwa

ni ruwaza wa heshima na maadili mema ya kiislamu. Na alikuwa ni

Suleiman wa utamaduni wa kiarabu, ambapo kwake mashairi, methali,

hotuba na simulizi - zisizo na idadi - zimekusanyika.¡±

[History of the Arabs, London, 1964, Uk. 183]



Sir William Muir

(1819 - 1905) Msomi na kiongozi wa kiskochi. Alikuwa na wadhifa wa Waziri wa

mambo ya nchi za nje katika serikali ya India, pia alikuwa Lieutenant Gavana wa mkoa

wa Kaskazini Magharib:



¡°Alijaaliwa kipaji cha maarifa, mwenye mapenzi, na mwenye kujifunga na

urafiki, tangu uvulana wake alikuwa amejitolea roho na moyo wake kwa

Mtume. Mnyenyekevu, mpole, na asiyependa makuu. Ambapo baada ya

kupita siku kadhaa, alipotawala nusu ya ulimwengu wa kiislamu, kwa

hakika alilazimishwa pasi na kutaka.¡±

[The Life of Mahomet, London, 1877, Uk. 250]

¡°Alikuwa ana hekima sana katika kutoa ushauri, na shujaa vitani, mkweli

kwa marafiki zake na mkarimu kwa maadui zake. Yeye daima alikuwa ni

ruwaza ya heshima na maadili mema ya kiislamu.¡±

"Kwenye madai ya uongo ya Bani Umayya ya kuuhaalisha utawala wa

Mwenyezi Mungu kuwa wao ni makhalifa wa Mungu duniani, na ulaghai

wao na serikali yao yenye mizozo na kulipiza kisasi, pamoja na hayo yote,

waliukubali uaminifu wake kutolegalega kwake na kujitolea katika

kuutumikia uongozi wa kipindi hicho wa kiislamu, uaminifu wake binafsi,

kuwatendea usawa wote waliomuunga mkono na pia ukarimu wake wa

kuwasamehe maadui wake aliowashinda."

[The succession to Muhammad: a study of the early caliphate, Cambridge, 1997,

Uk. 309-310]



Charles Mills

(1788 - 1826) Mwanahistoria bingwa wa enzi zake:



¡°Akiwa ni kiongoazi wa familia ya Hashim na binamu na mkwe wa

(Mtume) ambaye waarabu walimheshimu¡­ inashangaza kuwa Ali

hakuandaliwa kuwa khalifa mara tu bada ya kufa Muhammad. Pamoja na

heshima ya kuzaliwa kwake na ndoa yake, pia alikuwa na urafiki na Mtume.

Huyu mtoto wa Abu Talib alikuwa ni wa mwanzo kuingia Uislam na

alikuwa ni kipenzi cha Mohammad, kwani alikuwa ni wa pili kama

alivyokuwa Harun kwa Musa. Kipaji chake kama msemaji, na ujasiri wake

kama shujaa, vilitukuzwa na taifa ambalo ujasiri ulikuwa ni sifa njema na

ufasaha ulikuwa ni busara.¡±

[An history of Muhammedanism, London, 1818, Uk. 89]

................
................

In order to avoid copyright disputes, this page is only a partial summary.

Google Online Preview   Download