Historia ya jinai kwa wanafunzi wanaolipwa.

Historia ya jinai kwa wanafunzi wanaolipwa. Haya ni maombi kwa wanafunzi wote wanaofanyakazi na shule za wilaya ya Salem -Keizer. Tafadhali jibu maswali yote. Fomu isiyokamilika inaweza kusababisha maombi yako yakachelewa, kukatawaliwa au kurudishwa. Tafadhali andika kwa ufasaha na usahihi. Usijaze fomu hii kama unataka kufanya kazi ya kujitolea. ................
................