MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) MWAKA 2018 MKOA WA IRINGA.
[Pages:12]MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) MWAKA 2018 MKOA WA IRINGA.
1.0 UTANGULIZI Mkoa wa Iringa upo mstari wa mbele katika kutoa huduma kwa jamii, ikiwemo elimu. Zipo Taasisi mbalimbali zinazotoa elimu kuanzia elimu ya awali hadi Vyuo Vikuu. Mkoa una madarasa ya awali 501 (Serikali- 470, zisizo za serikali- 31), Shule za Msingi 509 (Serikali- 479, zisizo za serikali- 30), shule za Sekondari 174 (Serikali- 109,zisizo za serikali- 65), Vyuo vya Ualimu 5, Vyuo Vikuu 5 na Chuo cha Veta 1.
1.1 IDADI YA SHULE ZILIZOFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA IV MWAKA 2018
Idadi ya Shule zilizofanya mtihani kwa mwaka 2018 zimeongezeka kutoka shule 158 za mwaka 2017 hadi shule 162 za mwaka 2018 kama ifuatavyo:Iringa (M) - 29, Iringa (V) - 33, Kilolo - 41. Mufindi - 42 na Mji Mafinga -17.
1.2 UFAULU WA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE MWAKA 2018 Mkoa wa Iringa umeshika nafasi ya 12 kati ya mikoa 26 ya Tanzania Bara kwa ufaulu kwa asilimia 84.53 GPA ya 3.8412 ukilinganisha na mwaka 2017 ambapo Mkoa ulishika nafasi ya 17 kwa ufaulu wa asilimia 75.99 GPA ya 4.0049. Hivyo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 8.54. Idadi ya wanafunzi waliofaulu ni 10,488 kati ya wanafunzi 12,408 waliofanya mtihani na wanafunzi walioshindwa ni 1,920 sawa na asilimia 15.47. Matokeo ya mtihani wa Taifa kidato cha nne mwaka 2018 ya watahiniwa wa shule yanaonyesha kuwa ufaulu kitaifa ni asilimia 79.27 (wav-80.05%,was78.51%). Kuhusu ufaulu kwa ubora , yaani daraja la I- III, waliofaulu ni asimia 26.25 .
1
Hali kadhalika ufaulu kimkoa, jumla ya wanafunzi 10,488 wamefaulu(daraja I-IV) mtihani wa kidato cha nne kati ya wanafunzi 12,408 waliofanya mtihani sawa na asilimia 84.53. Ufaulu kwa ubora yaani daraja la I-III waliofaulu ni wanafunzi 4,111 sawa na asilimia 33.13 tu.Hali hii inaonesha kuwa asilimia 66.87 wamepata ufaulu wa daraja la IV na daraja sifuri, ambapo daraja la IV ni 6,377 sawa na asilimia 51.39 na wanafunzi 1,920 sawa na asilimia 15.47 walishindwa mtihani.
1.3 Ulinganifu wa Ufaulu: Nafasi za Halmashauri katika Mkoa. Kwa mwaka 2018 Halmashauri ya Mji wa Mafinga inaendelea kuongoza ikifuatiwa na Iringa Manispaa kwa kushika nafasi ya pili na ya tatu ni Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Nafasi ya nne ni Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi na nafasi ya tano ni Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo (Tazama jedwali Na. 1 na Na.2 hapa chini)
2
Jedwali Na 1: Ufaulu wa kidato cha IV mwaka 2018 kwa kila Halmashauri
NAFASI WALIOFANYA
MADARAJA YA UFAULU
UFAULU UFAULU (I- IV) BORA (I-III)
NAFASI
HALMASHAURI
I II
1 MAFINGA MJI
1327 171 134
2 IRINGA(M)
2667 116 348
3 IRINGA DC
3164 141 291
4 MUFINDI
2832 61 296
5 KILOLO
2418 43 246
III IV
226 620 585 1206 506 1672 501 1592 446 1287
O
IDADI
&
IDAD I
&
201 201
GPA 8
7
176
1151
86.7 4
531
40.0 3.606
2
5
11
43
412
2255
84.5 5
1049
39.3 3
3.764 9
38
42
554
2610
82.4 9
938
29.6 3.892
5
5
76
123
382
2450
86.5 1
858
30.3 3.895
0
0
78
115
396
2022
83.6 2
735
30.4 3.927
0
1
91
145
MKOA
12408 532 1315
2264
6377
1920
1048 8
84.5 3
4111
33.1 3
3.841 2
12
17
Jedwali Na.2 UFAULU KIMADARAJA
NAFASI WALIOFANYA
MADARAJA YA UFAULU
HALMASHAURI
I % II % III % IV % O %
1 MAFINGA MJI
1327 171 12.89 134 10.10 226 17.03 620 46.72 176 13.26
2 IRINGA(M)
2667 116 4.35 348 13.05 585 21.93 1206 45.22 412 15.45
3 IRINGA DC
3164 141 4.46 291
9.20
506
15.99 1672 52.84 554
17.51
4 MUFINDI
2832 61 2.15 296 10.45 501 17.69 1592 56.21 382 13.49
5 KILOLO
2418 43 1.78 246 10.17 446 18.44 1287 53.23 396 16.38
MKOA 12408 532 4.29 1315 10.60 2264 18.25 6377 51.39 1920 15.47
3
1.4 Shule zilizofanya vizuri Zaidi na shule za mwisho Kimkoa
Katika uchambuzi wa matokeo kimkoa pia zimepangwa shule kumi bora na shule kumi za mwisho.
1.4.1 Shule Kumi bora.
Katika uchambuzi wa shule 10 bora Halmashauri 4 zimetoa shule 10 bora kwa
mchanganuo:-
Kilolo
- shule 01
Mji Mafinga
- shule 04
H/W Iringa
- shule 03
Mufindi
-shule 02
Jedwali Na.3 Shule kumi bora Kimkoa
NAFASI
WALIOFANYA
SHULE
HALMASHAURI
1 BETHEL SABS
MAFINGA MJI
74
2 ST. DOMINIC SAVIO
IRINGA DC
42
3 DON BOSCO
MAFINGA MJI
47
4 MAFINGA SEM
MAFINGA MJI
39
5 ST. MARY'S ULETE
IRINGA DC
88
6 CONSOLATHA
MAFINGA MJI
30
7 MUFINDI GIRLS
MUFINDI
72
ST.THERESE 8 MIBIKIMITALI 9 ST.JAMES
47 IRINGA DC
KILOLO
58
10 BROOKEBOND
MUFINDI
32
MADARAJA
GPA Nafasi
I
II
III
IV 0
kimkoa kitaifa
71
3
0
0
0 1.6041
1/130 10/3488
38
4
0
0
0 1.6321
2/130 12/3488
40
7
0
0
0 1.7292
3/130 26/3488
31
8
0
0
0 1.7897
1/32 2/1371
70
18
0
0
0 1.8147
4/130 38/3488
20
10
0
0
0 1.9417
2/32 4/1371
21
44
7
0
0
2.3861 5/130 128/3488
9
33
5
0
0 2.4149
6/130 137/3488
15
25
18
0
0 2.5508
7/130 164/3488
4
19
9
0
2.6276 3/032 27/1371
1.4.2 Shule kumi(10) za Mwisho Kimkoa
Kwa upande wa shule kumi za mwisho Kimkoa (zilizofanya vibaya), Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo inazo shule 04, Halmashauri ya Mji Mafinga shule 02, Halmashauri ya Iringa 03 na Iringa Manispaa 01.
4
Jedwali Na.4 Shule kumi za mwisho Kimkoa
NAFASI
WALIOFANY A
MADARAJA
Nafasi
GPA I II III IV 0
SHULE
HALMASHAURI
kimkoa kitaifa
1 MNYIGUMBA MAFINGA MJI
32 0 1 1 20 10 4.3462 28/32
1164/1371
2 UMBUYA
KILOLO
20 0 0 3 10 7 4.3692 29/32
1186/1371
3 KILOLO
KILOLO
79 0 1 7 43 28 4.371 126/130
3110/3488
4 ISIMILA
IRINGA DC
166 0 2 14 100 50 4.3744 127/130
3119/3488
5 LYASA
IRINGA DC
31 0 0 2 18 11 4.4003 30/32
1222/1371
6 ISALAVANU MAFINGA MJI
44 0 2 2 20 20 4.4268 128/130
3249/3488
7 WASA
IRINGA DC
81 0 1 2 45 33 4.4778 129/130
3339/3488
8 HOPE
KILOLO
2 00 0
1
1 4.5000 31/32
1303/1371
9 NDULI
IRINGA MANISPAA 70 0 1 3 32 34 4.5053 130/130
3381/3488
10 SAYUNI
KILOLO
10 0 0 0
4
6 4.6958 32/32
1366/1371
1.5 Mpangilio wa shule kwa ubora wa ufaulu katika Mtihani wa kidato cha Nne mwaka 2018 Kimkoa. Jumla ya Shule za Sekondari 162 kati ya 174 ndizo zilizokuwa na watahiniwa wa mtihani wa kidato cha Nne katika Mkoa wa Iringa.Mpangilio wa shule kwa ubora wa ufaulu ni kama ilivyoainishwa katika jedwali Na.5.
5
Jedwali Na.5: Mpangilio wa Shule kwa ubora wa ufaulu Kimkoa
MADARAJA
Nafasi
WALIOFANYA
NA
GPA
I II III
IV
O
SHULE
HALMASHAURI
1 BETHEL SABS
MAFINGA MJI 74 71 3 0
0
ST. DOMINIC 2 SAVIO
IRINGA(DC)
42 38 4 0
0
3 DON BOSCO
MAFINGA MJI 47 40 7 0
0
4 MAFINGA SEM
MAFINGA MJI
39 31 8 0
0
ST. MARY'S 5 ULETE
IRINGA(DC)
88 70 18 0
0
6 CONSOLATHA
MAFINGA MJI 30 20 10 0
0
7 MUFINDI GIRLS ST.THERESE
8 MIBIKIMITALI ST.JAMES
9
MUFINDI
IRINGA(DC) KILOLO
72 21 44 7
0
47 9 33 5
0
58 15 25 18
0
kimkoa kitaifa 0 1.604 1/130 10./3488
0 1.632 2/130 0 1.729 3/130 0 1.79 1./32
12/3488 26/3488 2/1371
0 1.815 4/130 38/3488
0 1.942 2./32 0 2.386 5/130 0 2.415 6/130
4/1371 128/3488 137/3488
0 2.551 7/130 164/3488
10 BROOKEBOND MUFINDI
32 4 19 9
0
0 2.628 3/032 27/1371
11 LYANIKA
MUFINDI
37 2 24 11
0
0 2.709 4/032 35/1371
12 MAGULILWA
IRINGA(DC)
51 7 24 20
0
0 2.728 8/130 216/3488
13 ADONAI
MAFINGA MJI 23 1 13 9
0
0 2.811 5./32 50/1371
14 EASTEN STAR ST.THOMAS
15 NYABULA IRINGA
16 ADVENTIST
17 IFUNDA UFUNDI
18 IRINGA GIRLS
19 EBENEZER
20 SPRING VALLEY
21 REGINA PACIS IMAGE
22
23 MTINYAKI
IRINGA (M)
IRINGA(DC)
IRINGA (M) IRINGA(DC) IRINGA (M) IRINGA (M) IRINGA (M) MUFINDI KILOLO
MUFINDI
45 10 13 17
5
75 3 33 36
3
27 2 12 12
1
165 36 49 47 29
120 25 39 24 27
93 3 40 38 12
78 7 28 31 12
52 4 15 31
2
90 3 35 33 19
24 0 8 15
1
0 2.8333 9/130 250/3488 0 2.899 10/130 266/3488
0 2.9058 Jun-32 65/1371 4 2.929 11/130 277/3488 5 2.9677 12/130 286/3488 0 3.0288 13/130 312/3488 0 3.0355 14/130 315/3488 0 3.075 15/130 333/3488 0 3.121 16/130 356/3488 0 3.163 7/032 105/1371
24 MALANGALI LUTANGILO
25 IMAGE VOSA
26
MUFINDI KILOLO
KILOLO
82 11 22 26
11
12 3.196 17/130 405/3488
50 2 14 24 10
0 3.223 18/130 427/3488
21 1 8 5
6
1 3.255 08/32 125/1371
6
NA
SHULE
HALMASHAURI
POMERINI 27
KILOLO
79
THE LORD'S HILL KILOLO 28
24
CONSOLATA 29 IRINGA
IRINGA (M)
84
30 WENDYRAYNA IRINGA (M)
15
31 SADANI
MUFINDI
136
ST. JOSEPH
42
32 IPOGOLO
IRINGA (M)
33 RUAHA
IRINGA (M)
76
34 BREAD OF LIFE IRINGA(DC)
35
35 BUKIMAU MARIA
36 CONSOLATA
MAFINGA MJI 26
KILOLO
27
37 SAWALA KISING'A
38
MUFINDI
84
KILOLO
7
39 KAWAWA
MAFINGA MJI 188
40 MWEMBETOGWA IRINGA (M)
42
41 ILOGOMBE
MUFINDI
24
42 DOKAMAN
IRINGA(DC)
59
43 CAGRIELO
IRINGA (M)
55
44 HIGHLANDS
IRINGA (M)
154
45 MADISI
MUFINDI
87
MAWAMBALA 46
KILOLO
48
UDEKWA 47
KILOLO
39
48 IMAULUMA
MUFINDI
39
49 MIYOMBONI
IRINGA (M)
89
50 ITENGULE
MUFINDI
59
51 IDODI ST. MICHAEL
52
IRINGA(DC)
171
KILOLO
62
WALIOFANYA
NA
SHULE
HALMASHAURI
WALIOFANYA
MADARAJA
I II III
IV
4 22 28 25
0 4 16
4
1 20 41 22
0 3 6
6
6 29 44 54
1 10 12 17
1 16 25 33
2 5 11 16
0 4 11 11
1 5 5
16
2 17 24 40
0 2 1
4
1 30 62 95
1 9 12 14
1 2 10 11
0 4 27 28
3 5 15 29
4 29 33 71
1 9 27 50
0 9 11 23
0 6 6
25
0 6 10 21
1 9 19 59
0 7 16 33
0 14 46 100
3 8 13 29
MADARAJA
I II III
IV
7
Nafasi
GPA O
kimkoa kitaifa 0 3.281 19/130 449/3488
0 3.298 9/32
139/1371
0 3.3204 20/130 474/3488
0 3.4222 Oct-32 191/1371
3 3.435 21/130 553/3488
2 3.4690 22/130 580/3488
1 3.4972 23/130 591/3488
1 3.5
11 OUT 32
218/1371
0 3.539 12./32 237/1371
0 3.572 13/32 252/1371
1 3.583 24/130 648/3488 0 3.586 14/32 254/1371
0 3.593 25/130 656/3488 6 3.6105 26/130 674/3488
0 3.618 15/032 269/1371 0 3.666 27/130 725/3488 3 3.6774 28/130 739/3488
17 3.7185 29/130 787/3488
0 3.738 30/130 824/3488 5 3.744 31/130 832/3488
2 3.784 16/32 384/1371 2 3.789 32/130 922/3488 1 3.7897 33/130 925/3488
3 3.796 34/130 934/3488 11 3.815 35/130 969/3488
9 3.817 36/130 971/3488
Nafasi
GPA O
kimkoa kitaifa
UDZUNGWA 53 54 LUGANGA
KILOLO MAFINGA MJI
55 EFATHA
IRINGA (M)
56 NYERERE MIGOLI IRINGA(DC)
DABAGA 57
KILOLO
58 MLANDEGE
IRINGA (M)
59 KIHESA UKWEGA
60 SELEBU
61
IRINGA (M) KILOLO
KILOLO
62 KINGEGE UKUMBI
63
MUFINDI KILOLO
64 MTWIVILA
IRINGA (M)
65 PAWAGA
IRINGA(DC)
66 MTERA
IRINGA(DC)
67 ITONA
MUFINDI
68 KIWELE
IRINGA(DC)
69 MLOWA
IRINGA(DC)
70 ITANDULA
MUFINDI
71 MGOLOLO
MUFINDI
72 KIBAO MAKWEMA
73 MLAFU
74
75 IFWAGI
76 LIPULI LUKOSI
77
78 IHOWANZA
MUFINDI KILOLO
KILOLO
MUFINDI IRINGA(DC) KILOLO
MUFINDI
149 2 121 2 39 0 203 4 83 4 91 0 175 8 74 0 74 0 52 0 18 0 84 1 111 2 84 0 71 1 142 2 40 1 111 2 108 1 47 0
48 0 33 0 79 0 70 0 86 2 47 0
14 41 74
18 22 62
3 13 20
20 40 123
3 18 51
11 27 34
11 42 82
7 17 39
7 19 40
4 11 34
2 3
11
8 17 47
5 22 68
5 17 56
4 13 50
14 19 97
3 8
23
8 15 81
10 18 61
4 9
27
3 9
31
3 3
25
5 14 55
4 16 39
5 9
61
2 9
34
MADARAJA
18 3.836 37/130 1015/3488
17 3.838 38/130 1018/3488 3 3.8513 39/130 1066/3488
16 3.857 40/130 1078/3488
7 3.86 41/130 1089/3488
19 3.8640 42/130 1098/3488
32 3.8640 43/130 1099/3488
11 3.874 44/130 1125/3488
8 3.889 45/130 1157/3488
3 3.897 46/130 1184/3488 2 3.903 17/32 515/1371
11 3.9166 47/130 1247/3488
14 3.928 48/130 1286/3488
6 3.939 49/130 1314/3488
3 3.949 50/130 1348/3488 10 3.951 51/130 1351/3488
5 3.952 52/130 1354/3488
5 3.962 53/130 1380/3488
18 3.973 54/130 1420/3488
7 3.98
1444/3488 55/130
5 3.98 56/130 1447/3488
2 3.983 18/32 639/1371
5 3.983 57/130 1456/3488 11 3.984 58/130 1460/3488
9 3.993 59/130 1492/3488
2 4.001 60/130 1521/3488
Nafasi
WALIOFANYA
NA
SHULE 79 ST AMBROSE 80 KINYANAMBO 81 MKWAWA
GPA
I II III
IV
O
HALMASHAURI
kimkoa kitaifa
MUFINDI
17 0 2 4
7
4 4.004 19/032 659/1371
MAFINGA MJI 148 1 12 29
79
27 4.007 61/130 1549/3488
IRINGA (M)
85 0 8 13 50 14 4.0081 62/130 1551/3488
8
................
................
In order to avoid copyright disputes, this page is only a partial summary.
To fulfill the demand for quickly locating and searching documents.
It is intelligent file search solution for home and business.
Related download
- baraza la mitihani la tanzania necta
- taarifa ya matokeo ya upimaji wa darasa la nne sfna kidato cha pili
- taarifa ya matokeo ya mtihani wa kidato cha sita acsee uliofanyika
- matokeo ya mtihani wa kidato cha nne csee mwaka 2018 mkoa wa iringa
- csee 2021 examination results
- mfumo wa kutunuku matokeo ya upimaji mitihani ya taifa kwa necta
- mwongozo wa matumizi ya viwango vya ufaulu na utaratibu wa necta
- taarifa ya matokeo ya mitihani ya taifa ya mwaka 2020
- matokeo kidato cha nne 2013 2014 scholarly search