MAZIMIO YA KAZI KIDATO CHA NNE MUHULA WA 1 2012



Shule ya Upili ya Mama Ngina

Ratiba ya Kazi ya Kiswahili

Kidato cha Nne

Muhula wa Kwanza 2017

SHULE YA UPILI YA MAMA NGINA

KIDATO CHA NNE MAZIMIO YA KAZI MUHULA WA 1 2016

|Juma |Somo |Kidokezo |Yaliyomo |Lengo |Mbinu |Asilia |Maoni |

| |1 |Kusoma |Ufahamu kinyamkela na chamcheka ya|Waweze kusoma na matamshi bora na kujibu |Kusoma kwa sauti. |Chemichemi ktb 4 uk 1-3. | |

| | |ufahamu |mkala |maswali. |Kujadiliana kujibu |Mongozo wa mwalinmu uk 1-2. | |

|1 | | | | |maswali. | | |

| |2 |Kusikiliza na kuzungumza |Sifa bainifu za fasihi simulizi |Waweze kueleza maana yafasihi simulizi na |Kujadiliana kueleza na |Chemichemi ktb 4 | |

| | | |andishi. |andishi kutaja sifa za tanza hizi. |kuandika. |Uk 4-5 | |

| | | | | | |Mwongozo uk 2-3 | |

| |3 |Sarufi na matumizi ya |Nomino |Waweze kueleza maana y nomino na aina zake. |Kueleza |Chemichemi uk5-7. | |

| | |lugha | |Waweze kuzitumia katika sentensi. |Kujadili |Mwongozo uk.4-5 | |

| | | | | |Kujibu mashwali katika | | |

| | | | | |daftari | | |

| |4,5 |Kusoma fasihi |Tamthilia/Hadithi |Waweze kusoma na kuchambua tamuthilia |Kueleza |Mstahiki meya. | |

| | | | |teule/hadithi fupi. |Kusoma |Damu nyeusi. | |

| | | | | |Kujadili. | | |

| |6 |Kuandika |Insha ya masimulizi |Waweze kuandika kwa hati nadhifu na tahajia |Kueleza |Chemichemi ktb 4 uk.9-11 | |

| | | | |sahihi kuandika mfululizo. |Maswali kwa majibu. |Mwongozo wa mwalimu uk. 7-8 | |

| | | | | |Kuandika. | | |

| |1 |Kusoma ufahamu |Mwaduma na siti ya mwahame. |Waweze kusoma kwa ufasaha na kujibu maswali |Kusoma kwa sauti. |Chemichemi ktb 4 uk.12-15. | |

|2 | | | |vilivyo. |Kuelezea kujibu maswali. |Mwongozo wa mwalimu uk. 9-10 | |

| |2 |Kusikiliza na kuongea |Fasihi simuliza (uainishaji). |Waweze kueleza maana ya fasihi simulizi kutaja |Kueleza |Chemichemi ktb 4 uk 15. | |

| | | | |vipera vya fasihi simulizi. |Kusoma |Mwongozo wa mwalimu uk 11. | |

| | | | | |Kuandika. | | |

| |3 |Sarufi na matumizi ya |Viwakilishi vionyeshi |Waweze kueleza maana ya viwakilishi na kutaja |Maswali ya dodosa |Chemichemi ktb 4 uk 17-22 | |

| | |lugha | |aina zake. |Kujadilikuandika na ujibu |Mwongozo wa mwalimu uk 13-14 | |

| | | | | |maswali. | | |

| |4, 5, 6 |M I T I H A N I Y A M W A N Z O W A M U H U L A |

| |1 |Kuandika |Uandishi wa barua |Waweze kueleza na kuandika barua ya kirafiki na|Kueleza |Chemichemi ktb 4 | |

|3 | | | |kirasmi kwa muundo mzuri. |Kujadili |Uk 23-24 | |

| | | | | |Kuandika. |Mwongozo uk 15-16 | |

| |2 |Kusoma |Ufahamu shairi-utu ni nini |Kusoma kwa ufasaha |Kusoma |Chemichemi ktb 4 | |

| | | | |Kutambua muundo wa shairi na tanzu nyingine. |Kujadili | | |

| | | | | |Kujibu | | |

| |3 |Kusikiliza na kuzungumza |Hadithi / simulizi. |Waweze kutaja vipera vya utunzi wa hadithi na |Kueleza |Chemichemi uk 16-17 | |

| | | | |kueleza maadili ya hadithi. |Kusoma |Mwongozo uk 11-12 | |

| | | | | |Kujadili kuandika. | | |

| |4-5 |Kusoma fasihi |Tamthilia/hadithi fupi. |Waweze kusoma na kuchambua thamthilia. |Kusoma kueleza Maswali kwa|Mstahiki meya. | |

| | | | | |majibu |Damu nyeusi | |

| |6 |Kuandika |Barua rasmi |Waweze kueleza hatua na muundo wa barua rasmi. |Kueleza |Chemi chemi32-39. | |

| | | | | |Kuandika. |Mwongozo 23-25 | |

| |1 |Kusoma |Ufahamu njogoo na cheche |Waweze kusoma na kujibu maswali vilivyo. |Kusoma kwa sauti kueleza |Chemi chemi uk 34-36. | |

|4 | | | | |kujadili na kufanya zoezi.| | |

| |2 |Sarufi na matumizi ya |viteunzi. |Waweze kutaja aina na kutumia katika sentensi. |Maelezo maswali kwa |Chemic chemi uk 39-41 | |

| | |lugha. | | |majibu. | | |

| |3 |Sarufi |Marudio ya mtihani |Waweze kujua na kuelewa makosa waliofanya. |Maelezo kujadili kujibu |Karatasi ya mtihani | |

| | | | | |maswali. | | |

| |4-5 |Kusoma fasihi |Tamthilia/hadithi fupi. |Waweze kuchambua na kujua lengo la mwandishi na|Maelezo kusoma kujadiliana|Mstahiki meya. | |

| | | | |maudhui |yaliyo muhimu. |Damu nyeusi | |

| |6 |Kuandika |Barua rasmi. |Waweze kueleza hatua na muundo wa barua rasmi |Kueleza kuandika |Chemi chemi uk 32-39. | |

| | | | | | |Mwongozo uk 23-25 | |

| |1 |Kusoma ufahamu |Ufahamu kutanda kwa viwanda ni |Waweze kusoma kwa ufahasa na kujibu maswali |Kusoma kwa sauti kueleza |Chemi chemi uk 45-47. | |

| | | |kuwanda kwa uchumi |vilivyo. |Kujibu maswali. |Mwongozo 34-35. | |

|5 | | | | | | | |

| |2 |Kusikiliza na kuzungumza. |Fasihi simulizi |Waweze kutaja na kueleza vitenzi. |Maelezo |Chemi uk 37-39 | |

| | | |Semi | |Kuandika kujadilia |Kamusi ya semi. | |

| | | |Methali. | |Kujibu maswali. |Mwongozi uk 27-28. | |

| |3 |Sarufi |Vitenzi halisi |Waweze kubainisha aina mbalimbali za vitenzi. |Maelezo |Chemi chemi uk 39-41 | |

| | | | | |Kuandika | | |

| | | | | |Kujadiliana | | |

| | | | | |Kujibu maswali. | | |

| |4 |Sarufi |Vitenzi halisi |Waweze kubainisha ainambalimbali za vitenzi |Maelezo kuandika |Chemi chemi uk 39-41. | |

| | | | | |Kujadiliana | | |

| | | | | |Kujibu maswali. | | |

| |5,6 |Kusoma fasihi |Fasihi. |Waweze kusoma na kuchambua tamthilia/hadithi |Maelezo maswali kwa majibu|Mstahiki meya/ | |

| | | | |fupi. | |Damu nyeusi | |

| |1 |Kusoma |Ufahamu zingwizingwi kungwi wa |Waweza kusoma na kujibu maswali ipasavyo |Maelezo |Mstahiki meya. | |

|6 | | |vibarua. | |Kusoma kujibu maswali |Damu nyeusi | |

| |2 |Sarufi |Upatannisho wa kisarufi umoja na |Waweze kujua matumizi ya viambishi ngeli na |Kusoma maelezo |Uk 50-53 | |

| | | |wingi. |kuvitumia kwa umoja na wingi. |Kujibu maswali. |Mwongozo Uk 36-38 | |

| |3 |Kuandika |Barua kwa mhariri /za magazeti. |Waweze kutaja sehemu mbalimbali za magazeti |Maelezo |Chemi chemi ktb 44 | |

| | | | |kueleza umbo la barua hio kuandika barua kwa |Kujadili |Mwongozo uk 31-32. | |

| | | | |mhariri kwa muundo ufaao |Kuangalia magazeti | | |

| | | | | |Kuandika. | | |

| |4-5 |Kusoma |Mstahiki meya. |Waweze kusoma na kuchambua maudhui. |Maelezo |Mstahiki meya. | |

| | | |Damu nyeusi | |Kujadili |Damu nyeusi | |

| | | | | |Kuandika. | | |

| |6. |Kusikiliza na kuzungumza |Misemo na nahau/ misimu |Waweze kufafanua maana ya misemo nahau na |Kueleza |Chemi chemi 48-50 | |

| | | | |misimu |Kujadili |Mwongozo 35-54 | |

| | | | | |kuandika | | |

| |1 |Kusoma |Ufahamu mradi wa zoezi |Waweze kusoma na kujibu maswali vilivyo. |Kusoma maelezo |Chemi chemi Uk 68-70 | |

|7 | | | | |Maswali kwa majibu |Mwongozo 53-54. | |

| |2 |Kuandika |Ufupisho au muuktasari |Waweze kujua umuhimu wa ufupisho waweze |Maelezo |Chemic hemi | |

| | | | |kudondoa hoja muhimu. |Maswali kwa majibu. |Uk 56-57 | |

| | | | | | |Mwongozo uk 53-54 | |

| |3 |Sarufi |Misemo halisi na taarifa |Kujua tofauti kati ya misemo halisi na taarifa.|Kueleza |Chemi chemi uk | |

| | | | | |Kujibu maswali kwa majibu.|53-55 | |

| | | | | | |Mwongozo uk 38. | |

| |4,5 |Kusoma |Fasihi |Waweze kusoma na kuchambua maudhi. |Kusoma, Kueleza |Mstahiki meya. | |

| | | | | |Kuchambua maudhui. |Damu nyeusi | |

| |6 |Kusikiliza na kuzungumza |Fasihi simulizi lakabu. |Waweze kueleza maana ya lakabu na asilia yake. |Maelezo |Chemi chemi | |

| | | | | |Kujadili |Uk 60 | |

| | | | | |Kujibu maswali. |Mwongozo uk 44-45. | |

| |1 |Kusoma |Ufahamu mikakati ya kupunguza |Waweze kusoma na kujibu maswali kikamilifu. |Kusoma kwa sauti |Chemichemi uk 80-82 | |

|8 | | |umaskini. | |Kujadili |Mwongozo | |

| | | | | |Kujibu maswali. |Uk 60-61. | |

| |2. |Kusikiliza na kuongea |Simu –jamii |Waweze kuelewa maana ya simu ya jamii kufafanua|Kusoma |Chemi chemi | |

| | | |Mazungumzo bungeni. |maana ya sajili katika lugha. |Maelezo |60-63. | |

| | | | | |Kujadili |Mwongozo | |

| | | | | |Kujibu maswali |Uk 46-47 | |

| |3 |Sarufi |Upatanisho wa kisarufi umoja na |Waweze kutumia vivumishi vya a- unganifu na |Maelezo |Chemicheni uk 73-75 | |

| | | |wingi |visisitizi. |Kujadili | | |

| | | | | |Kujibu maswali. | | |

| |4,5 |Kusoma fasihi |Fasihi |Waweze kuchambua wahusika. |Kusoma maelezo |Mstahiki meya/ | |

| | | | | |Kuchambua kuandika. |Damu nyeusi | |

| |6 |Kuandika |Insha ya methali |Waweze kujua jinsi ya kuandika insha ya |Maelezo |Chemichemi 66-67 | |

| | | | |methalivilivyo. |Kuandika insha |Mwongozo uk 50-51 | |

| |1 |Kusoma |Ufahamu kajuma na njama ya |Waweze kusoma na kujibu maswali vilivyo. |Kusoma maelezo |Chemichemi uk 92-95 | |

|9 | | |magazeti. | |Kujibu maswali. |Mwongozo 69-70 | |

| |2 |Sarufi |Upatanisho wa kisarufi |Waweze kutaja vivumishi vyapekee na jinsi ya |Maelezo |Chemichemi 83-85 | |

| | | |vivumishipekee |kuvitumia. |Kutunga sentensi |Mwongozo 63-64 | |

| | | | | |kuandika | | |

| |3 |Kuandika |Memo |Waweze kueleza muundo wa memo na vipengele |Maelezo |Chemichemi | |

| | | | |vyake, |Kujadili |Uk 78-79 | |

| | | | |Kuandika memo |Kuandika. |Mwongozo 59. | |

| |4,5 |Kusoma |Fasihi |Waweze kusoma na kuchambua wahusika. |Kusoma |Mstahiki meya. | |

| | | | | |Kujadili, Kuandika |Damu nyeusi | |

| |6. |Kusoma kwa mapana |Magazeti |Waweze kujua jinsi ya kusoma magazeti. |Kusoma |Taifa leo | |

| | | | | |Magazeti maelezo | | |

| |1 |Kusoma kwa kina |ushairi |Waweze kusoma na kujibu maswali ya shairi. |Maelezo |Chaguo la mwalimu | |

| | | | | |Kujadili | | |

| | | | | |Kujibu maswali. | | |

|10 | | | | | | | |

| |2 |Sarufi |Vielezi |Waweze kujua aina za vielezi |Maelezo |Chemichemi uk 75-77 | |

| | | |Mahali | |Maswali | | |

| | | |idadi | |Majibu kuandika. | | |

| |3 |Kusikiliza na kuongea. |Fasihi simulizi mafumbo |Waweze kueleza muundo na aina za vitendawili |Maelezo |Chemi chemi uk71-72 | |

| | | |vitendawili. |kufafanua umuhimu wa vitendawili. |Kujadili |Mwongozo 54-55. | |

| | | | | |kuandika | | |

| |4,5 |Kusoma |Fasihi wahusika katika |Kutaja na kuchambua wahusika katika |Kusoma |Mstahiki meya. | |

| | | |thamthilia/hadithi fupi. |thamthilia/hadithi fupi |Kujadili |Damu nyeusi | |

| | | | | |Kuandika. | | |

| |6. |Kusoma |Fasihi wahusika katika |Kutaja na kuchambua wahusika katika |Kusoma |Mstahiki meya. | |

| | | |thamthilia/hadithi fupi. |thamthilia/hadithi fupi |Kujadili |Damu nyeusi | |

| | | | | |Kuandika | | |

| |1 |Kusoma |Ufahamu mfumo wa kiuchumi. |Waweze kusoma na kudondoa hoja muhimu kujibu |Kusoma |Chemichemi uk 104-106 | |

| | | | |maswali kikamilifu. |Maelezo |Mwongozo 77-78 | |

| | | | | |Kujibu maswali | | |

|11 | | | | | | | |

| |2 |Kusikiiza na kuzungumza |Fasihi simulizi ulumbi |Waweze kueleza maana ya ulumbi na kutofautisha |Kusikilizamaelezo |Chemichemi 82-83 | |

| | | | |na tanzu nyingine. |kuandika |Mwongozo uk 61-62. | |

| |3 |Sarufi |Matumizi ya viambishi .ndi, kuna, |Waweze kujua na kubainisha matumizi ya |Maelezo |Uk. 86-89 | |

| | | |ji |viambishi hivyo. |Kujadili |Mwongozo | |

| | | | | |Kujibu maswali. |Uk 65. | |

| |4,5 |Kusoma |Fasihi mitindo |Waweze kujua mtindo na mbinu zilizo tumika. |Kusoma |Mstahiki meya. | |

| | | | | |Maelezo |Damu nyeusi. | |

| | | | | |Kujibu maswali. | | |

| |6 |Kuandika |Maagizo na maelezo |Waweze kubainisha umuhimu wa magagizo na |Maelezo |Chemichemi uk 101-102 | |

| | | | |kuandika. |Kujadili | | |

| | | | | |kuandika | | |

| |1 |Kusoma |Ufahamu si raha ni karaha |Waweze kusoma na kujibu maswali vilivyo. |Kusoma kujibu maswali. |Chemichemi uk 113-116 | |

| | | | | | | | |

| | | | | | | | |

|12 | | | | | | | |

| |2 |Kuandika |Matangazo na tahadhari |Waweze kuelewa jinsi ya kuandika matangazo |Maelezo |Uk. 102-103 | |

| | | | | |Kujadili | | |

| | | | | |Kuandika. | | |

| |3 |Sarufi |Viuunganishi |Waweze kujua jinsi ya kutumia viunganishi. |Maelezo |Uk. 102-103 | |

| | | | | |Kujadili | | |

| | | | | |Kuandika | | |

| |4 |Kusikiliza na kuzungumza |Malumbano ya utani |Waweze kutambua malumbano ya utani ni nini na |Maelezo |Uk 95-96. | |

| | | | |sifa zake. |Kujadili | | |

| | | | | |Kujibu maswali. | | |

| |5-6 |Kusoma |Fasihi lugha |Waweze kuchambua lugha ya tamthilia/hadithi |Kusoma |Mstahiki meya. | |

| | | | |fupi. |Maelezo |Damu nyeusi | |

| | | | | |Kuandika. | | |

|13-15 |1 - 6 |M T I H A N I W A J A R I B I O N A K U F U N G A S H U L E |

................
................

In order to avoid copyright disputes, this page is only a partial summary.

Google Online Preview   Download