MAANA ZA MAJINA YA WATU WA PEMBA KATIKA LUGHA YA KISWAHILI: UCHUNGUZI ...

View metadata, citation and similar papers at core.ac.uk

brought to you by CORE

provided by Digital Library of Open University of Tanzania

MAANA ZA MAJINA YA WATU WA PEMBA KATIKA LUGHA YA KISWAHILI: UCHUNGUZI KIFANI

MOH'D HAJI ALI

TASNIFU ILIYOWASILISHWA IKIWA NI SEEMU YA MASHARTI YA KUPATIWA SHAHADA YA UZAMILI (M.A.) KISWAHILI YA CHUO

KIKUU HURIA CHA TANZANIA 2016

ii

UTHIBITISHO Aliyetia sahihi hapa chini anathibitisha kwamba ameisoma Tasnifu yenye mada "Maana za Majina ya Watu wa Pemba" na ameridhika kwamba imefikia kiwango kinachotakiwa na inafaa kuwasilishwa kwa ajili ya utahini wa shahada ya Uzamili (M.A Kiswahili) ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.

................................................... Dkt. Zelda Elisifa (Msimamizi)

................................... Tarehe

iii

HAKI MILIKI Hairuhusiwi kuiga au kunakilikwa namna yoyote ile tasnifu hii, kwa njia ya kielektroniki, kurudufu nakala, kurekodi au njia yoyote nyengine, bilaya idhini ya mwandishi au Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kwa niaba ya mwandishi.

iv

TAMKO Mimi Ali, Moh'd Haji, nathibitisha kuwa hii ni kazi yangu halisi na haijawahi kuwasilishwa katika Chuo Kikuu kingine chochote kwa ajili ya kutunukiwa shahada hii au nyengine yoyote.

........................................................... Sahihi

................................. Tarehe

v

TABARUKU Naitabaruku kazi hii kwa mama yangu, Mauwa Haji Amani, kwa malezi yake mazuri na kunisisitiza kutafuta elimu. Aliniambia "Mwanangu kwa elimu na mali watu hujenga familia zao. Familia hazijengwi kwa ujinga na unyonge".

................
................

In order to avoid copyright disputes, this page is only a partial summary.

Google Online Preview   Download