HALI YA ELIMU YA SEKONDARI NA CHANGAMOTO ZAKE NCHINI TANZANIA MWAKA 2020

TANZANIA COALITION ON DEBT AND DEVELOPMENT (TCDD)

TANZANIA COALITION ON DEBT AND DEVELOPMENT (TCDD)

HALI YA ELIMU YA SEKONDARI NA CHANGAMOTO ZAKE NCHINI TANZANIA MWAKA 2020

OKTOB1A 2020

TANZANIA COALITION ON DEBT AND DEVELOPMENT (TCDD)

HALI YA ELIMU YA SEKONDARI NA CHANGAMOTO ZAKE NCHINI TANZANIA MWAKA 2020

2

TANZANIA COALITION ON DEBT AND DEVELOPMENT (TCDD)

OKTOBA 2020

i

TANZANIA COALITION ON DEBT AND DEVELOPMENT (TCDD)

SEHEMU YA KWANZA SHUKRANI

Kitabu hiki cha hali ya Elimu ya sekondari na changamoto zake nchini Tanzania ni mwendelezo wa tafiti ambazo Mtandao wa Madeni na Maendeleo Tanzania (TCDD) imekuwa ikizifanya tangu mwaka 2001 katika sekta za afya na elimu. Kitabu hiki kinaainisha hatua zote za mchakato mzima wa ufuatiliaji, umuhimu, malengo, njia, sampuli na zana za utafiti. Kitabu pia kinatoa matokeo ya utafiti kwenye wilaya kumi (10) ambapo utafiti huu umejikita katika kufuatilia utekelezaji wa mpango wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano 2016/2017 ? 2020/2021 katika halmashauri zifuatazo;Manispaa ya Iringa , Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo, Manispaa ya Nyamagana, Manispaa ya Ubungo, Halmashauri ya Mji wa Kibaha, Manispaa ya Shinyanga , Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, na manispaa ya Sumbawanga. Kitabu hiki kinachambua takwimu na kuzitolea tafsiri kutoka katika shule za Sekondari 100 yaani shule 10 kutoka katika kila Halmashauri teule hapo juu Kama sampuli wakilishi ya sekta nzima katika wilaya hizo. Shukrani za dhati ziwaendee wote waliohusika kikamilifu katika kukamilisha kazi hii kama ifuatavyo; Wakurugenzi watendaji wa Halmashauri zote ambazo zimehusika kikamilifu katika utafiti huu, Wakuu wa wilaya zote, maafisa elimu wa wilaya, walimu wakuu pamoja na wazazi wote ambao walihusika kwa ukaribu kafanikisha zoezi hili. Kwa namna ya pekee tunapenda kuyashukuru mashirika wanachama wa TCDD hasa yaliyohusika kikamilifu katika utafiti huu katika Wilaya zao ambayo ni; Unity in Diveristy Foundation (UDF), The Leadership Forum, Biharamulo Non-Governmental Organization Forum Network (BINGO), Youth Partnership Countrywide (YPC), BIDII Tanzania, Uvinza NGO Network, Masasi NGO Network (MANGONET), Youth and Environment Vision (YEV), Wise Utilisation for Natural Resources Sustainability (WURNS) na Rukwa Association of NonGovernmental Organisation (RANGO). Shukrani pia zimwendee Ndugu Boniface Komba ambaye amesaidia kuratibu mradi huu na kuweka pamoja taarifa za Halmashauri zote 10 na kuwa taarifa moja, Ndugu Jane Mwabulambo ambaye pia amefanya kazi ya kuboresha kitabu hiki katika hatua zote. Wote kwa ujumla wao walitoa mchango mkubwa katika kuboresha na kuchapisha kitabu hiki ambacho sio tu kwamba kitawasaidia watanzania na watunga sera kwa ujumla bali kitumike kama sehemu ya utetezi/uchechemuzi katika kuboresha huduma ya elimu ya sekondari kwa nchi nzima.

Hebron Mwakagenda Mkurugenzi Mtendaji

ii

SEHEMU YA PILI

TANZANIA COALITION ON DEBT AND DEVELOPMENT (TCDD)

YALIYOMO

1.0. MSINGI WA MRADI WA UFUATILIAJI1

1.1. Ushiriki wa Asasi za kiraia katika Maendeleo

2

1.2. Njia za Utafiti

2

1.3. Sampuli2

1.4. Zana za Ukusanyaji takwimu/taarifa2

1.5. Baadhi ya Mambo Muhimu yaliyoangaliwa kwenye ufuatiliaji huu

2

2.0. MATOKEO YA UTAFITI KATIKA SEKTA YA ELIMU

3

2.1. Halmashauri na Idadi ya Shule zilizohusika kwenye Ufuatiliaji

3

2.2. Wanafunzi waliofaulu na waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza

3

2.3. Wanafunzi waliochaguliwa lakini hawakuripoti (Takwimu Halmashauri)

5

2.4. Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza lakini hawakuripoti

6

2.5. Idadi ya wanafunzi waliofanya Mtihani wa Kidato cha Nne na waliofaulu

8

2.6. Idadi ya wanafunzi waliojiunga Kidato cha Kwanza Mwaka 2018 na 2019

10

2.7. Uwiano wa wanafunzi kwa kila chumba cha darasa

10

2.8. Uwiano wa idadi ya wanafunzi kwa Matundu ya Vyoo

20

2.9. Uwiano wa wanafunzi kwa idadi ya walimu

28

2.10. Shule zenye Umeme 32

2.11. Hali ya Miundombinu kwenye baadhi ya shule

33

2.12. Ushiriki wa wadau wa Elimu (wazazi, kamati za shule, walimu na wanafunzi)

39

2.13. Nini kifanyike (Maoni na ushauri kutoka kwa wadau wa Elimu)

40

iii

................
................

In order to avoid copyright disputes, this page is only a partial summary.

Google Online Preview   Download