Yaliyomo - KCPE KCSE

arena.co.ke 0713779527

Yaliyomo

Mambo Muhimu katika Maandalizi ..................... ............... Amali - 6 za Uandishi wa Insha Bora ...................................... Mpangilio .. .................... ............ ................. ............... . ...... Mfululizo wa Sentensi................ . ............... ........................... Sauti .. ..................... ................ ...... . ....................................... Uteuzi wa Msamiati ....... ................ . ....................... Kanuni I Sheria ....................................... ................................. Vfgezo vya Kutathmini.. ........................ ................... ............

____ Chunguza / Uhakiki................. ......... .................... ............... Uwasilishi .... ......... ................. ................................................ Mambo Muhimu ........................................................................ Sehemu za Insha................................ ........ ............................ . Tamati au Hatimu.............. ....................... ........................ Shida zinazoibuka katika Uandishi ................. . ........ ........... Mwongozo wa Kusahihisha ........ ...................... Mtungo ...................................... ............. ............. . ................. Insha Mufti......................................

arena.co.ke 0713779527

Mambo muhimu katika maandalizi na usahihishaji wa insha

Mwanafunzi anayejiandaa kuandika insha ya kuvutia hana budi kutilia maanani vipengele vifuatavyo. Mambo haya ndiyo hutiliwa maanani sana katika usahihisaji wa insha.

a) Sura au mtindo wa insha

Sura au mtindo wa insha lazima uzingatiwe, kwa mfano;

-Sura ya hotuba -Sura ya barua ya kirafiki -Sura ya barua rasmi -Sura ya mjadala -Maelezo ya moja kwa moja - Ubunifu n.k.

Iwapo mwanafunzi hatazingatia sura au mtindo unaostahili, atapoteza alama ya sura.

b) Urefu wa insha

Ni muhimu mtahiniwa azoee kuandika insha kadhaa akizingatia urefu unaohitajika. Wengi

*

wa wanafunzi huandika insha fupi mno. Kisha wao hupoteza

alama kwa kutozingatia

maagizo haya.

.

c) Mpango/mtiririko wa mawazo

____ -Mpango wa maandishi ya insha lazima uwe kwa aya zinazovutia. Epuka aya ndefu au fupi sana. - Mawazo ya kazi ya mfehiniwa yawe ya kutiririka. Mawazo yasipangwe shaghalabaghala. - Hati ya mtahiniwa ni ima faima iwe ya kusomeka bila tatizo. Epuka kufutafuta.

d) Hoja au yaliyomo au vipengele viwe zaidi ya sita Baadhi ya watahiniwa hutoa hoja chini ya tano. Epuka kuandika hoja chache kwani utapoteza alama ya yaliyomo.

e) Mapambo yalnsha ? Siri ya insha nzuri ni msamiati uliopambika na uliotumika vizuri. ?Wengi wa wanafunzi hupachika'roSamiati mzito mzito bila makini. ?Tumia msamiati w kueleweka kwa urahisi ikiwezekana. Msamiati kama:

- Semi

-Tashbihi

- Nahau

- Majina ya makundi

-Methali - Istilahi za taaluma

-i?Tanakali za sauti - Tashihisi n.k.

arena.co.ke 0713779527

Amali ? 6 za Uandishi wa Insha Bora

Mwongozo wa Kusoma na Kufanyia Mazoezi

Nyenzo sita za kuufanya uandishi wako kuvutia zaidi

? Mawazo na Urefu ? Mpangilio ? Mlizamu wa ibara ? Matamshi sahihi ? Msamiati teule ? Muundo na uzingativu wa

kanuni za lugha

Mawazo na Urefu Je, uandishi wako una ufafanuzi bora usiotatiza?

____

arena.co.ke 0713779527

H e b u isome insha ya kuelezea iliySandikwa naye Juma ha pa chini.

Je, Juma amefanikiwa kuwasilisha maelezo yake kwa njia safi na yenye ufafanuzi?

Ni.lipoenda kupiga. kambi, nilijifunza kupanda farasi. .Ni taaluma yenye ujanja sawa kuijua. Hebu nikueleze jinst ya kuupata ujuzi huu.

Jambo la kwanza ni kujifunza jinsi ya kupanda farasi. kwanza unahiti kukanyaga kwa.mguu, wako mqaeja katika kidude cha kukanyaga, kisha kwa kutumia mguu wako wa pili uvuke juu kabisa kadiri ya uwezo wako. Wakati huu unaupitisha mguu wako hadi ule upande mwingine wa farasi. Usidhani ni rahisi vivi hivi.

Tandiko la farasi wakati mwingine huwa juu hata

Hili ni funzo ambalo watu wengi hawalijui

zaidi ya fyti nne kutoka chini ardhini.p

Mara ukiisha panda juu ya farasi, unahitaji

kupitjapiga pole pole pande nrvbifl za farasi kwa visigino

____ vyakoilikumwekafarasimbionLKwakupunguza mwendo unahitajika kuvuta nyuma hatamu pole pole' |Ukimtaka farasi kuetekea kulia unavuta hatamu upande wa kulia, hali kadhalika ukimtaka kupinduka kushoto.) _____ Upandaji juu ya mgongo wa farasi ni jambo gumu kujifunza, lakini lenyeraha tele.

Msomaji anaweza' kuetewalengo hasala insha hii kiia ibara

Ni kweli kuwa Juma anae/ewa mengi kuhusu mada hii

inazinga tia lengo

lenyewe

Ni nini anachohitaji kufanya mwandishi ili kuwasilisha mawazo yake kwa msomaji?

arena.co.ke 0713779527

Mpangilio

Je, uandishi wako umepangwa vyema na kueleweka kwa urahisi?

Mpangilio ni utaratibu au muundo unaotumiwa kuwasilisha ujumbe au mawazo yako kwa njia sahihi. Huenda ikawa muundo wako ni kulinganisha na kulinganua, kutoa maoni na kuyafanikisha kwa hoja za kweli, kuonyesha mfulutizo wa matukio kiwakati, au utaratibu mwingine wowote ulio bora. Mpango uuchaguao hauna budi uambatane

____ na mawazo yako na vipengele uvitumiavyo kuifanya insha yako ieleweke kwa urahisi.

Vidokezo vya Uandishi Bora

Ufanye mwanzo wa uandishi wako kuvutia na kuteka fikira za msomaji na kuashiria lifuatalo. Kila kipengele kinatoa habari zaidi kuhusu mada yako. Hakuna ujumbe wa ziada. Mwambatano wa sentensi hadi sentensi na pia ule wa ibara hadi nyingine huunganisha wazo la kwanza kwa lile la pili. Hakikisha umempatia msomaji ujumbe ufaao kwa vipimo vifaavyo kwa wakati unaofaa. Ukitoa ujumbe duni rftsomaji atapoteza hamu, kisha ukitoa ujumbe mwingi zaidi

................
................

In order to avoid copyright disputes, this page is only a partial summary.

Google Online Preview   Download