Public Service Recruitment Secretariat | PSRS



JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

[pic]

Kumb. Na. EA.7/96/01/K/78 16 SEPTEMBA, 2019

TANGAZO LA KUITWA KAZINI

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu Waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 30 Agosti, 2019 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Data base) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo Barabara ya Kivukoni, Jengo la Utumishi, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazijachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

|NA |MAMLAKA YA AJIRA |KADA |MAJINA YA WALIOITWA KAZINI |

|1 |MKURUGENZI MTENDAJI, |ASSISTANT AIRCRAFT MARSHALLERS |CHOGERO MUSSA RAMADHANI |

| |KILIMANJARO AIRPORT DEVELOPMENT | | |

| |COMPANY LIMITED (KADCO) | |JAPHARI ELISHA MAKOBOGE |

| | | | |

| | | |BRIAN ELISHA KISASI |

| | | | |

| | | |JESCA EDGARD MBILE |

|2 |MKUU WA CHUO, |LECTURER - HISTORY |BEATRICE HALII |

| |CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE | | |

| |(MNMA) | | |

| | |TUTORIAL ASSISTANT - PROCUREMENT AND LOGISTICS|ELIAS CHAPONDE JUSTINE |

| | |MANAGEMENT | |

|3 |OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI |KATIBU MAHSUSI III |AMINA IBRAHIM NJUWILA |

| |(AG) | | |

| | | |SAUDA SHABANI ALLY |

| | |MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II |GRACE RAYMOND ASSENGA |

| | |MWANDISHI WA SHERIA II |PUDENSIANA PATRICE MREMA |

| | | | |

| | | |SARAH DAUDI WANGWE |

|4 |NAIBU MAKAMU MKUU WA CHUO, |PERSONAL SECRETARY III |NEEMA COSMAS MAHENGE |

| |CHUO KIKUU CHA ARDHI | | |

| |(ARU) | |AMINA HAJI SAIDI |

| | | | |

| | | |NEEMA DENNIS SHANI |

| | | | |

|5 |MKURUGENZI MKUU, |ASSISTANT NURSING OFFICER II |THANIA ABDALLA SALIM |

| |HOSPITALI YA RUFAA YA BUGANDO | | |

| | |NURSE II |JOSEPH MATHIAS SIYANTEMI |

| | |ACCOUNTANT II |LYDIA BARTHOLOMEW |

| | |ACCOUNTANT CLERK II |ERASTO GODWIN MOLLEL |

| | |DRIVER II |BRITISH JANUARY KAMBANGA |

| | |MEDICAL ATTENDANT II |ANTELIMI N ETRO |

| | |COOK II |ZAWADI KULWA MALIMI |

|6 |MKUU WA CHUO, |ASSISTANT LECTURER |SELESTINE EMANUEL LUFUNDISHA |

| |CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA | | |

| |(CBE) | | |

|7 |MKURUGENZI MTENDAJI (W), |AFISA TEHAMA II |JONATHAN MOREA |

| |HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI | | |

|8 |MKURUGENZI MTENDAJI (W), |MCHUMI II |JUBILANT MATHEW DANIEL |

| |HALMASHAURI YA WILAYA YA ITILIMA | | |

|9 |MKURUGENZI MTENDAJI (W), |DEREVA II |DICKSON EFREM KALULU |

| |HALMASHAURI YA WILAYA YA KONGWA | | |

| | | |JOHN STEPHEN KILOMONI |

| | | | |

| | | |DEUS GODFREY MBOGO |

|10 |MKURUGENZI MTENDAJI (W), |DEREVA II |AUS MOHAMED SEIF |

| |HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA | | |

| | | |IAN ELIAS NDIMBWA |

| | |MTHAMINI II |MICHAEL DENIS CHIPETA |

|11 |AFISA MTENDAJI MKUU, |TUTOR II – FOOD PRODUCTION |JAMES PHILIP MSIMBE |

| |WAKALA WA CHUO CHA TAIFA CHA UTALII | | |

| |(NCT) | | |

|12 |KATIBU TAWALA (M), |AFISA USHIRIKA II |EDWARD THEOPHIL KIMARO |

| |OFISI YA MKUU WA MKOA WA KAGERA | | |

|13 |MENEJA MWANDAMIZI WA RASILIMALI WATU, |RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT |HUSNA MASOUD KINJWAMU |

| |TANESCO – DAR ES SALAAM | | |

| | | |MOSES BAKARI MHANDO |

|14 |KATIBU MTENDAJI, |FUNDI SANIFU II MIGODI |WILLIAM NTULANALWO MUSUKULA |

| |TUME YA MADINI | | |

| |(TMC) | | |

| | |MHASIBU MSAIDIZI |RAYA RASHID MASOUD |

| | |DEREVA II |JACKSON DOUGLAS LEMA |

| | | | |

| | | |THADEO THADEO FOCUS |

| | | | |

| | | |BAVON MSHAM MILLANZI |

| | | | |

| | | |NELISON SIMON KIBOGOYO |

| | | | |

| | | |PHILIMUS RWEJUNA JOSEPH |

| | | | |

| | | |DAVID NATFALI RYOBA |

| | | | |

| | | |LAURENT SYLIVANUS TINDI |

| | | | |

| | | |EBENEZA K STEVEN |

| | | | |

| | | |AVITHO SEBASTIAN MTWEVE |

| | | | |

| | | |AYUBU BELEDON NZYELA |

| | | |HASHIM MLAWIZI |

| | | | |

| | | |CLEMENCE MNENUKA |

| | | | |

| | | |WAKILI SAVERI SABUNI |

| | | | |

| | | |ATHUMANI RASHIDI MATIMBWA |

| | | | |

| | | |CHANDE CHANDE KIGWALILO |

| | | | |

| | | |OMARY MOHAMED KITOWEO |

| | | | |

| | | |PATRICK JOHN KOMBA |

| | | | |

| | | |ABEID SHABANI RAJABU |

| | | | |

| | | |LIGWA KULWA PIUS |

| | | | |

| | | |MOSES EFRANCIS MWANYINGILI |

|15 |KAMISHNA MKUU, |LIBRARY ASSISTANT II |AMINA HAMISI CHONDE |

| |MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA | | |

| |(TRA) | | |

|16 |KATIBU MKUU, |KATIBU MAHSUSI III |SAADA WAZIRI ULEDI |

| |WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO | | |

| |(UCHUKUZI) | | |

|17 |MTENDAJI MKUU, |GEOLOGIST II |EDWARD PASTORY |

| |TAASISI YA JIOLOJIA NA UTAFITI WA | | |

| |MADINI TANZANIA (GST) | | |

| | |ACCOUNTANT II |PASCAL YEKONIA SANGA |

|18 |MKURUGENZI MKUU, |LEGAL OFFICER III |SAMWEL KASORI |

| |TAASISI YA NGUVU ZA ATOMIKI TANZANIA | | |

| |(TAEC) | | |

| | |SUPPLIES OFFICER III |YOHAKIM ALOYCE MSAKWA |

| | | | |

| | |ASSISTANT ACCOUNTANT |MARCK JOSEPH NGUTA |

|19 |MKURUGENZI MKUU, |ICT OFFICER II (BUSINESS ANALYST) |MELKIORE L KIMATH |

| |SHIRIKA LA RELI TANZANIA | | |

| |(TRC) | | |

|20 |KATIBU MKUU, |MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II |ESTHER LIVING KIMARO |

| |WIZARA YA NISHATI | | |

| | |KATIBU MAHSUSI III |MWASHABANI ABDALLAH MKWAMA |

| | | | |

|21 |MKURUGENZI MTENDAJI (W), |AFISA TEHAMA II |HASHIM MAULID |

| |HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG’HWALE | | |

| | | |ABEL GEORGE HAU |

| | | | |

| | |DEREVA II |JUMA SHARADI MFINANGA |

| | | | |

| | | |DICKSON EVARIST MUSHI |

| | | | |

| | | |KABURU AMONI MJINJA |

| | | | |

| | | |JUMA MSANGI SEMBOJA |

| | | | |

| | | |ABUU ALLY ISSA |

| | | | |

| | | |YASIN IBRAHIM MBULAYAMBELE |

| | | | |

| | | |FRANK ALFRED KIMENYI |

|22 |MTENDAJI MKUU, |ASSISTANT INSTRUCTOR II |SUNDAY RICHARD KAMANGU |

| |TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO | | |

| |(TaSUBa) | | |

| | |RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II |1. EUNICE NASSORO MNANIKE |

|23 |MKURUGENZI MKUU, |PERSONAL SECRETARY III |GUDILA AVELINE MOTE |

| |TAASISI YA UTAFITI WA VIATILIFU VYA | | |

| |KUDHIBITI VISUMBUFU KATIKA UKANDA WA | | |

| |KITROPIKI | | |

| |(TPRI) | | |

| | |FIELD OFFICER II |1. JUSTINE R. KAPAMA |

| | | | |

| | | |DONICIA DOMICIAN BALAMWISAKI |

| | | | |

| | |MEDICAL OFFICER II |DR.JULIUS SEBASTIAN MALETO |

|24 |MKUU WA TAASISI, TAASISI YA MAENDELEO YA |CLINICAL OFFICER II |ERICK HANCE MWAKALEBELA |

| |JAMII TENGERU | | |

| |(TICD) | | |

|25 |MKURUGENZI MKUU, |PLANNING AND DEVELOPMENT OFFICER II |SARA JEREMIAH MSOLWA |

| |SHIRIKA LA UTANGAZAJI TANZANIA | | |

| |(TBC) | | |

| | |ACCOUNTS OFFICER II |NEEMA JOHN |

| | |MARKETING OFFICER II |GAUDENCE KAYOMBO |

| | |INTERNAL AUDITOR II |EVANS YUSTO |

IMETOLEWA NA KATIBU

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

................
................

In order to avoid copyright disputes, this page is only a partial summary.

Google Online Preview   Download