SHULE YA SEKONDARI CANOSSA

JIWEKE SAWA III KIDATO CHA NNE AUGUST 2013 LALA SALAMA. SEHEMU A: UFAHAMU. 1. Soma habari ifuatayo kisha andika ufupisho usiozidi maneno 15 (kumi na tano) Matokeo ya upimaji ule yalimfanya arukwe na akili, kwani yalikuwa ni kinyume kabisa na matarajio, matumaini na malengo ya maisha yake. Alivuna alichopanda. ................
................