FREE KCPE KCSE REVISION RESOURCES | KCPE-KCSE



KISWAHILIDARASA LA NANEINSHAINSHA ZA METHALIHutahiniwa kwa namna tatuMwanzo, mada na tamati au kijalizioIwapo ni mada,jadili au fafanua ikiwa una uwezoIwapo ni tamati, jalizia kwa maneno uliyopewaIwapo ni mwanzo, endeleza kisa moja kwa mojaSimulia kisa kinachooana na maudhuiMETHALI ZA WEMA, USAIDIZI WA RAFIKI NA UDUGUAkufaaye kwa dhiki ndiye rafikiHeri jirani wa karibu kuliko ndugu wa mbaliKwendako mema hurudi memaWema hauoziJaza ya ihsani ni ihsaniKumpoa mwenzio sio kutupaWawili si mmojaDamu ni mzito kuliko majiDamu ni damu si kitarasaZimwi likujualo halikuli likakwishaMSAMIATI NA MAPAMBOSaidiana kamaMaiti na jenezaKiko na digaliSahani na kawaKinu na mchiAlinitilia upendo/alinipiga jekiHali mbaya ya mtuMchafu kama kilihafu/fungo/kisafuDovuo mdomoni/mashavuniNgecha menoni/matongo machoniHali ya umaskini/unyonge/ugonjwaSi lolote si chochoteMasikini hohehaheSi wa koleo si wa maniKwake hakufuki moshiSi hayati si mamati/si hai si mahututiHawana be wala teNikawa gofun la mtu/kifefe/fremu ya mtuAnachungulia kaburiMiundo ya maumboIlikuwa dhahiri shahiri kuwa angeenda jongomeoNilipiga moyo konde nikampiga jeki Kwa hali na maliAlinitilia upendo kwani akufaaye Kwa dhiki ndiye rafikiNilikumbuka alivyonipakatana kuniasaNilikuwa sina be wala te baada ya wazazi kwenda jongomeoMatumaini yangu yalifufuka pindi nilipokutana na ________Machozi yalimlengalenga na kumbubujika kama maji mferejiniKupokea methaliWaambao waliamba_______Wahenga hawakutupa ulimi wa kulazia walipoanga______Chambilecho wahengaWahenga hawakutoa ngebe walipokuli______Yakini, wema ______TamatiNdipo iliponiwia bayana kuwa _____Ndipo walipofutika mtimani kwangu ukweli wa methali_______Sitalifuta tukio hilo katika kumbukumbu zanguTanbihi-mwalimu ana uhuru wa kuongeza mengineINSHA YA MJADALAmjadala ni mazungumzo baina ya watu kuhusu mada au hoja kuuupande mmoja hupinga huku mwingine ukiunga mkonokuna sehemu nne kuumadautangulizimwilitamati-kutoa kauli na ushaurikuna namna tatu za kuandika insha hiikuunga na kupinga katika aya mojakuunga mada mkono na baadaye kuipingakuipinga mada na baadaye kuiunga mkonousiandike chini ya hoja sitatoa msimamo wako kwa mwandishiTEKNOLOJIANi maarifa ya kisayansiyaliyowekwa katika matumizi ya vifaa, vyombo, mitambo na zana mbalimbaliTeknolojia inaweza kutumika kwa njia ainatiMawasilianoUtafiti wa kisayansiUsafi na afya ya mwiliUsafiriKilimo na ufugajiMichezo na mashindanoElimuBiasharaKutalii anga za juuMawasilianoVyombo vya mawasiliano kama tarakilishi, magazeti, simuHutupasha habariHutuepusha na maafaKuelimisha na kutumbuizaKiingiacho mjini si haramuKipya kinyemi kingawa kidondaUtafitiWataalamu wamevumbua/wamegundua dawa za dweleMashine/mitambona vyombo vya kurahisisha kaziMitambo ya kuchunguza hali ya angaDawa za kuzuia mimbaUkiona vyaelea vimeundwaElimuVyombo na vifaa vingi hutumiwa shuleniMitambo na vifaa vya utafitiMatumizi ya mitandaoKanda za videoElimu ni bahariElimu haitekekiUsalamaZana za vita hutumiwa hutulinda dhidi ya maaduiDonge nono hupatikana baada ya kuuza vifaaNyua za umeme na ving’oraTahadhari kabla ya hatariKilimo na ufugajiPembejeo-mbegu, mbolea, dawaMashine za kulimia, kunyunyuzia majiMashine za kukama ng’ombeUkiona vyaelea vimeundwaTembe na tembe huwa mkateUsafiriVyombo vya usafiri vya majini, angani na nchi kavuHuenda kwa kasi ya umemeHuokoa wakatiNgoja ngoja huumiza matumboMadhara ya teknolojiaHuwafanya watu kuwa wazembeChanzo cha mmomonyoko wa maadiliHufundisha ulevi, ulanguzi wa dawa za kulevyaHulemaza akili na fikiraHuchangia kutupilia mbali kwa tamaduni na desturiTamatiNingependa kuwajuza kuwa _______Ningeomba sote tupinge kwa jino na ukucha ____________Tusiwe kama chachandu kwa kujipalia makaa kwa ____________INSHA YA MASIMULIZIMICHEZOMichezo ni jumla ya shughuli za kujifurahisha, kujichangamsha,kujiburudisha au kupoteza wakatiKuna michezo ainati kama vileKandandaMpira wa vikapuVoliboliNagaMagongoRiadhaSarakasi/virojaRiadhaNi jumla ya michezo ya viungo vya mwili kama kukimbia, kurukaKuna mbio za masafaMafupi-mita 100, 200, 400Kadiri-mita 800, 1500, 3000Marefu-5000, 10,000, na mbio za nyikaKuruka viunzi na majiKutupa tufe/kijisahaniKubururana kwa kambaMsamiatiTufeMzingoNusu mzingoVijitiSafu za kukimbiliaWapasua hewaKandanda/kambumbu/soka /gozi/mpira wa miguuHushirikisha timu mbiliMavazi ya wachezaji-jezi, kaptura, soksiViatu vya wachezaji-ndaruga, njumuUwanja wa michezo unaitwa uga/uchanjaaGolikipa-mlinda lango/ mdakaji/mnyakatiWachezaji wa ngome-walinzi/defenseWachezaji wa kiungoKipindi cha lala salama/cha piliKadi ya manjano/nyekunduMshindi/mshindeMcuano/kinyang’anyiro/kindumbwendumbweMapambo na maumboUwanja/uga/uchanjaa ulijaa/ulifurikaJiwe lisingeanguka ardhiniShangwe, vifijo, vigelegele na nderemo vilihinikiza hewaniNgome yao ilikuwa dhabiti mithili ya ukuta uliojengwa kwa zegeWapasua hewa walihemaNa kutwetaMithili ya mbwa aliyenusurika kumezwa na chatuKikorombwe cha mwishokilipopulizwa _____Alipiga zinga kimoCha mbuzi hadi _____Nilimvisha kanzu/kupiga tobweMpira ulianza kwa kasi ya umemeMpira uludanadana wavuniMethaliHayawi hayawi huwaHauchi hauchi unakuchaKutangulia si kufikaSubira huvuta heriMadaKINYANG’ANYIRO CHA KUKATA NA SHOKAMECHI YA KUSISIMUAKIPUTA CHA KIPEKEEMECHI YA KUKUMBUKWAKUMBUKUMBUKumbukumbu ni taarifa au rekodi zilizoandikwa na kuhifadhiwaAnayeandika ni katibu au karaniKiongozi wa mkutano huwa mwenyekiti au naibu wa mwenyekitiKumbukumbu ni maoni ya wote;hivyo basi katibu hafai kutoa hisia zake mwenyeweSehemu muhimu za kumbukumbu niMada/kichwaMahudhurioAjenda za mikutanoThibitishoMada/kichwaHuwa na jina rasmi linalotambulisha shirika, kundi, kampuniHuwa na tarehe, mahali na wakati(saa)Kichwa kindikwe kwa herufi kubwa na kupigiwa mstariMfanoKUMBUKUMBU ZA MKUTANO WA CHAMA CHA MAZINGIRA WA TAREHE 2 MEI 2010 KATIKA UKUMBI WA HOTELI YA MAJIMBO SAA MBILI ASUBUHIMahudhurioHuonyesha majina ya waliohudhuria, waliokosa kuhudhuria na waliotuma udhuru(sababu) ya kutohudhuriaHuonyesha walioalikwaMajina ya wanajopo/wanakamati/wanachama yafuate vyeoBaadhi ya vyeo ni kama vileMwenyekiti au naibu mwenye kitiKarani au naibu/katibuKatibu mwandamizi/mratibuMhazini-anayetunza mali ya shirika au kampuniAjendaHizi ni hoja muhimu zinazojadiliwa k.v kufunguliwa kwa mkutanoKusomwa kwa kumbukumbu za mkutano uliotanguliaHoja nyinginezo zitategemea nia ya mkutano au shirikaKufungwa kwa mkutano-taja anayeomba na wakatiMapamboMkutano ulifahamishwa kwamba _____Ripoti ilitolewa kuwa ______Mwenyekiti aliwaarifu/aliwajuza kuwa _____________Mkutano uliamua kwamba____________Walipatana kwamba ______________Kikao kilielezwa kuwa _____________ThibitishoSehemu hii huwa na sahihi na tareheBaada ya kumbukumbu kusomwa na kuthibitishwa katika mkutano unaofuata mwenyekiti na katibu hutia sahihiUmbo la kumbukumbuMada:herufi kubwaWaliohudhuria________________________________________Waliotuma udhuru______________________________________Wasiotuma udhuru__________________________Waalikwa ________________________Ajenda__________________________________KUMB CCM1 1/02: ______________KUMB CCM 2 1/02:_______________THIBITISHAMwenyekiti ____________(sahihi)Tarehe ______________Katibu ______________(sahihi)Tarehe ________________INSHA YA MAZUNGUMZOMazungumzo ni maongezi mahojiano au malumbano baina ya mtu na mwingine au kundi moja na jingineMazungumzo haya yanaweza kuwa Poroja/soga/domo-ni mazungumzo ya kupitisha wakatiKutafuta ujumbe maalum-hufanyika kwa njia yab mahojianoKumdadisi au kumwelekeza mtu-baina ya mtu aliye na tajriba na Yule anayetaka msaadaKila mmoja hupewa nafasi ya kuzungumzaMhusika mmoja asichukue nafasi kubwaTumia alama za uakifishaji ainatiSharti pawe na halin ya kuchachawizaVitendo viweze kuandikwa katika alama za mabanoFani za lugha zitumuke ili kuleta uhondo katika mazungumzoLazima pawe na maagano au maelewanoTangaza msimamo iwapo ni mahojianoHatuaMada/kichwaHuandikwa kwa herufi kubwa na kupigiwa ,mstariMfanoMAZUNGUMZO BAINA YA DAKTARI NA MGONJWAMaudhui-hili ni lengo au kusudi la mazungumzoMsamiati utategemea lengo la mazungumzoVitendo na ishara-haya yataandikwa katika mabano mfano: (akiketi, akilia, wakibisha, akicheka)Alama za uakifishajiKoloni( : )huandikwa baada ya jina au cheo cha mtuAlama za dukuduku ( -------------)kwamba mazungumzo yanaendeleaParandesi au mabano ()Kubana maneno ambayo hayatasemwaAlama ya hisi ( ! ) hutumiwa pamoja na viingizi kuonyesha hisiaMfano: yarabi maskini!INSHA YA MAELEZO AU WASIFUHii ni insha inayotoa maelezokuhusu jambo, mahali au kitu FulaniInsha hii hueleza, huarifu, huburudisha au hutahadharishaMwandishi asiandike chini ya hoja sitaTumia viunganishi unapounganisha mawazo katika aya au unapoaanza aya nyingineTiririsha mawazo ili pawena mtiririko na mshikamanoKatika tamati toa ushauri kwa makundi mbalimbaliMwandishi anweza kutoa msimamo wake kuhusu hoja FulaniFAIDA ZA ELIMUElimu ni taaluma au mfuo wa mafunzo yanayofundishwa katika jamii zetuElimu inazo faida anuwaiElimu huondoa ujinga akiliniMja hupata maarifa, ujuzi na hekimaMwanafunzi hutambua mambo tofautiHumakinika katika mambo ayafanyayoElimu ni bahari na pia habariAliyeelimika huweza kuishi na wengineMtu hujiheshimu na kuheshimu wengineHusaidia kudumisha amani, umoja na upendo baina ya watuKichango kuchangizanaUmoja ni nguvu utengano ni udhaifuNi daraja la kutuvusha katika umaskiniWaja hutia bidii za mchwa ili kufaulu maishaniHumwezesha mtu kuhitimu katika taaluma FulaniUhawinde hutokomea kama umande nyasini wakati wa jua la asubuhiHurahisisha mawasilianoBaina ya mtu mmoja na mwingine au baina ya mataifaHujifunza mengi kwani kuishi kwingi kuona mengiAliyesoma hutalii nchi nyingiKuhifadhi siriElimu humwezesha mja kusoma uumbe kutoka katika barua au arafa akiwa pekeeHuchangia kuwepo kwa maendeleoSerikali hujenga shule,vyuo na miundo msingi mingineyo ya elimuTaasisi mbalimbali huboresha mitaala ya ufundishajiHufanikisha utafiti, utumiaji wa teknolpjia mpya na mitambo mbalimbaliElimu ni irithiElimu ni mali ambayo haitekiNi almasi inayostahili kuchibwa na mtoto yeyote mwandilifuZamani watu waliridhi mashamba na mifugoElimu ni silaha na nguzo muhimu na madhubutiMethaliElimu ni bahariElimu ni taa, gizani huzagaaElimu ni ali ambayo adui hawezi kuitekaElimu maisha si vitabuViunganishi na mapamboIsitoshe, elimu ni ,ali ambayo adui hawezi ___________Zaidi ya hayo, humwezesha mja kuhitimu___________Hata hivyo, kuna wale wanaoitumia________________Aidha, limu hurahisisha mawasilia____________NahauTujifunge masombo/nira/kibwebwe ili _____Tujikaze kisabuni _______Tusiwe pweza wa kujipalia makaa kwa kutoelimika ____________Tujifunge masombo mithili ya _________ duduvule atoboaye gogo/mchwa ajengaye kichuguuTamatiNingependa kukunja jamvi kwa ______Ninapofikia tamatiJua linapoaga mikalatusiNinatia kitone nikitoa lulu kuwaINSHA YA MASIMULIZIMIKASAMikasa ni matukio au mambo ya kutisha yanayotokea kwa ghafal pasi ya kutarajiwaMatukio haya yanaweza kuleta maafa, masaibu na majonziMikasa hii inaweza kuwa ya moto, milipuko ya bomu, zilizala, mafuriko, ajali barabarani, mlipuko wa volkano na maporomoko ya ardhiYanayopaswa kuzingatiwa kwa masimulizi niWakati wa mkasaMahali pa tukioJinsi tukio lilivyotokeaKushiriki kwa msimuliziShughuli za uokoziMsamiati na mapamboKelele-mayowe, kamsa, usiahiMlipuko-mfyatuko, mwatuko, mshindo, ngurumoVilio-shake, kusinana, kikweukweu, kwikwikwi, mayowrMochari-makafani, ufuoni,Ving’ora vya ambulensi na makarandingaVifusi na majivu katika majengoManusura na majeruhiHuduma ya dharuraVukuto la motoHelikopta za kijeshi na shirika la msalaba mwekunduMabehewa(mabogi) yalitapakaaGari liliyumba yumba/lilipiga danadanaTaharuki na hekahekaKuuputa moto kwa matagaaCheche za moto zilitanda kama fatakiPaparazi walizuka/walitokea ghafla bin vu kama mizukaUpepo ulivuma kwa ghamidha na ghadhabuWaja walipiga mbizi ili kujinusuruGari liligeuzwa likawa ganda tuNgeu ilitapakaa na kuzagaa koteMizigon ilfyatuka na kuwalenga wapiti njiaVing’ora vilihinikiza/vilitanda/vilishamiri koteMavundevunde ya moshi yalitanda koteJoto lilisambaa na kuzagaaVilikuwa vilio si vilio, majonzi si majonzi, zogo si zogoMethaliChelewa chelewa utampata mwana si wakoAkufaaye kwa dhiki ndiye rafikiNgoja ngoja huumiza matumboMbiu ya mgambo ikilia kuna jamboUmoja ni nguvu utengano ni udhaifuJuhudi si patoVihisishi vya majuto na mshangaoLa haula la kwata !Yarabi maskini!Ole wangu!Masaalale!Lo!UasidiziWalitupiga jekiNiliwatilia upendoNiliwapa mkonoTulisaidiana kama kiko na digaliMaiti na jenezaKinu na mchiTamatiHakika, hakuna msiba usiokuwa na mwenziweDaima dawamu sitalisahautukio hiloMatukio hayo hayatafutika kutoka tafakulini mwanguNinapokumbuka kisa hicho, machozi hunitiririka njia mbilimbiliLUGHASURA YA KWANZAUfahamu:ndoto ya alinacha mufti uk 145Kuchambua picha kitabuniKuongoza kusoma ufahamu kwa ufasaha Kuorodhesha fani mbalimbali za lugha pamoja na matumizi yakeKuorodhesha misamiati na matumizi yakeTathmini 1-10 uk 147-148Sarufi:vihisishiKuelezea maana ya vihisishiHutumiwa kuonyesha hisi au hisia ya msemaji kidhihirishaFurahaMshangaoMshtukoHasiraUchunguMaumivuUchovuHurumaDharauWitoLaanaKutunga sentensi akitumia vihisishi alivyopatiwaTathmini mufti uk 148-150, kkd uk 18-19Kusikiliza na kuongea:tasfidaTamko linalomaanisha tabia njema, uadilifu, adabu na namna ya kujichukua kwa heshimaMifano ya tasfida nimaamkiziSabalkheri ____alkheriShikamoo __ marahabaCheichei ___hewaaManeno ya adabuSaidiaMjamzitoJifunguaNemsiMheshimiwaBintiBwamkubwaKuandika: inshaKurejelea insha za huzuniKuwaongoza kutafuta maudhui mbalimbaliTathmini-mseto wa maudhuiMikasaMafurikoAjaliMotoMsamiati: mawasilianoKufafanua maana ya mawasiliano, raslimali na malighafiKutaja mifano ya raslimaliMisituMilimaWanyamaporiMadiniKuangazia kuhusu umuhimu wa misituHifadhi ya wanyama poriKuvutia wataliiVyanzo vya mitoKinamasiChemichemiJangwaSURA YA PILIUfahamu:tuende na wakatiKuchambua michoro vitabuniKuwaongoza kusoma taarifa kwa ufasaha kutambua na kueleza fani mbalimbali za lugha na manenomagumuTamrini mufti uk156-159Sarufi:viunganishiNeno linalotumiwa kuunganisha neno na neno, sentensi na sentensi, wazo na wazoKutoa mifanotofauti ya viunganishiKasoro-lakini, baliKusalia kitu kimoja-ila, isipokuwaKinyume na matarajio-ingawa, ijapo, ilhaliKulinganisha kuonyesha tofautiKuongezea-aidha, mbali na, licha yaKuwaongoza kutunga sentensiTamrini mufti uk161, KKD uk 25Kusikiliza na kuongea:kukosoa sentensiKuwaongoza wanafunzi kuzisoma na kuzikosoa sentensiKuhakiki sentensi zaoTathmini mufti uk 161Kuandika:kukanushaNi kukataaKufunza ukanusho wa ;Wakati tegemeziTimilifuKi-ya mashartiKunditenziNafsio-rejeshi na –ambatathmini mufti uk 162msamiati:viumbe vya kike na kiumekinyume ni kuonyesha upande wa pili wa jambokujadili jedwali la kike na kiumemama - babaajuza – shaibushangazi – ami/amumbarika – beberumkemwenza – mwanyumbawifi – mwamumtwana – kijakazitathmini mufti uk 163 , KKD uk 135SURA YA TATUufahamu:mbuyukuwaongoza kuchambua picha vitabunikufafanua matumizi ya maneno magumukueleza fani nyingine husikakuwaongoza kusoma ufahamu kwa ufasahatamrini mufti uk 167-168sarufi:vielezi vya mkazotakriri au shadda ni maneno yanayotumiwa kutilia mkazo au kusisitiza jambomifano ya takririsalama saliminibure bilashiraha na burahakufa kuponaliwalo liwehaambiliki hasemezekifanya juu chinisi wa uji si wa majidaima dawamubuheri wa afyahakubali hakataihawashi hazimikutunga sentensi wakitumia takriritathmini mufti uk 169kusikiliza na kuongea:kutunga sentensivitate ni maneno yanayotatanishamifanoyakini – yamkinishuku – chukufahali – faharidaawa – dawazabuni – sabunibali – mbali kizazi- kisasifuka – vukafuta – vutakutunga sentensi wakitumia vitate tathmini mufti uk 169, KKD uk 146kuandika insha:furahakuwaongoza kutaja aina za insha za furahashereheharusimahafalimatokeo ya mtihanikueleza fani mbalimbaliza gurahakuwapa insha waandikemsamiati:nomino makundikueleza maana ya nomino makundikurejelea ngeli za nomino makundikorija ya miaka/mablanketisafu ya milimamsitu wa mitishehena ya mizigobiwi la simanzifunda la majitonge la ugalikikosi cha polisikikoa cha waimbajikilinge wachawikipeto – baruarobota – ngoziwingu la nzigekichala-matundatathmini mufti uk 172SURA YA NNEufahamu:roho mkononikuchambua michoro vitabunikusoma taarifa kwa sauti na kwa ufasahakueleza maneno magumu na fani nyinginezo pamoja na matumizikueleza shabaha ya ufahamutathmini mufti uk 176-177Sarufi: ngeli pamoja nakirejeshi ambaamba ni kitenzi kisaidizi kinachorejelea mtendwa au mtendaji kwa kutambulisha ama kueleza zaidi ya jambo fukanikirejeshi –o hutumika badala ya AMBAo-rejeshi na AMBA havitumiki pamojamfanokuku ambaye alitaga ni mkubwaNominoNgeliAmba-o-rejeshiKukuA – WAKI- VILI – YAU- II – ZIU – ZII – IU – UU – YAYA – YAKUPAKUMUAmbaye – ambaoAmbacho – ambavyoAmbalo – ambayoAmbao – ambayoAmbayo – ambazoAmbao – ambazoAmbayo – ambayoAmbao – ambaoAmbao – ambayoAmbayo – ambayoAmbakoAmbapoAmbakoambamoYe – oCho – vyoLo – yoO – yoYo – zoO – zoYo – yoO – oO – yoYo – yoKoPoKomotathmini mufti uk 179 KKD 151Kusikiliza na kuongea: michezo mbalimbaliKueleza madhumuni ya michezona manufaa mbalimbaliKujenga mwiliKuimarisha misuriKudhibiti afyaKuburudisha roho , macho na akiliKutaja michezo ya watotoGungwiBaoGolaKibe/kibemasaJungweBembeaKibunziMierekaMsabakaKandandaSabaranjiKwataNatikiRiadha sarakasiTathmini mufti uk 180-181Kuandika: inshaKufunza kuhusu barua ya kirafikiKueleza sharia za barua ya kirafikiAnwani moja ya mwandishiTareheMtajoHitimishoMsamiati: visaweManeno yenye maana sawaMifanoMvulana, barobaroGhadhabu, hasiraDaawa, kesiNikaha, harusiGombo, ukurasa, sahifaNderemo , shangweUkongo, ndwele, maradhiTamrini mufti uk 183SURA YA TANOUfahamu: mikasaKuchambua picha vitabuniKusoma taarifa kwa sautiKuchambua maneno magumu na fani nyinginezoKueleza dhamira ya taarifaTathmini mufti uk 186Sarufi:usemi halisi na taarifaUsemi halisi ni manenoyalivyotarajiwa na msemaji mwenyeweUsemi taarifa ni ripoti au maelezo yakitolewa na mtu mwengine kutoka kwa msemaji halisiKueleza jinsi ya kubadilisha usemiUsemi halisi usemi taarifa leosiku hiyoJanasiku iliyopita/tanguliaKeshosiku ijayoViashiria hapa hapo au paleVimilikishi vya karibuakeMbali kidogo-akoNafsi ya kwanza –ninafsi ya tatuWakati ta, ki ngeTathmini mufti uk 188Kusikiliza na kuongea:kirejeshi –ambaKirejeshi –o cha awali na kirejessho o- cha tamatiKufafanua jinsi ya kuambisha o rejeshi tamati na awalio-rejeshi awalihutokea kabla ya mzizi wa kitenzi –o- rejeshi tamati hutokea mwishoni mwa sentensiKitenzio-rejeshi awalio- rejeshi tamatiKimbiaKulaKuwaKuaAnayekimbiaAnayekulaAnayekuwaAnayekuaAkimbiayeAlayeAwayeakuwayeMsamiati: matunda na mimeaKujadili kuhusu matunda na mimeaTunda mimeaFenesi mfenesiBalungI mbalungiChungwa mchungwaUkwanju mkwajuTofaa mtofaaMgomba ndiziMpunga mcheleTamrini mufti uk 195, KKD uk 113Kusoma: hisa na batiKuchambua michoro kitabuniKusoma taarifa kwa ufasahaKueleza maana ya maneno magumuTathmini mufti uk 215-217Sarufi: matumizi ya –ndiKiainishi –ndi ni kishirikishi cha kukubali kwa msisitizoHuambatanishwa na viwakilishi nafsi au virejeshi ili kutilia mkazoHutumia o-rejeshi kwenye vitenziNafsiNdi+ mimi __________ndimiNdi+ wewe__________ndiweNdi + yeye __________ndiyeNdi+si______________ndisiNdi+ nyinyi__________ndinyiNdi + wao__________ndioo- rejeshindi + ye_________ndiyendi + o__________ndiotathmini mufti uk 218-219Kusikiliza na kuongea:mafumbofumbo huchemsha bongopia huburudishakueleza jinsi ya kuwasilisha fumbo tathmini mufti uk 219-220kuandika:sentensi za kinyumeunyume ni upande wa pili wa jambokutunga sentensi kuonyesha kinyumekueleza maana ya misemokueleza maana ya misemo inayoanza na –tiaMufti uk 220Msamiati: vitaweVitawe ni maneno yenye maana zaidi ya mojaKutoa mifano mufti uk 220SURA YA SITAUfahamu: kuishi ni kuishaKuchambua picha vitabuniKusoma taarifa kwa ufasahaKueleza maana ya matumizi ya manenomagumuKutungia maneno magumu sentensiMufti uk 224-226Sarufi: matumizi ya –sini kiainishi cha kutilia mkazoHuambatanishwaNa viwakilishi nafsi au virejeshi ili kuleta msisitizo wa kukanushaNafsiSi + mimi___________simiSi + wewe__________siweSi + yeye____________siyeSi + sisi ____________sisieSi + wao_____________sioo- RejeshiA –WA si + yeye_______siye si-o______sioKI – VI si + cho _______sicho si+ vyo _____sivyoKuchambua jedwaliMufti uk 228Kusikiliza na kuongea:taarifaKusoma kwa taarifa kwa ufasahaKuchambua picha vitabuniKueleza dhamira ya taarifa ileKueleza na kuzichambua fani FulaniKuandika: misemoKueleza maana ya misemo namatumiziKutunga sentensi ukitumia misemoMifanoKuvunja ungoKujifunga kibwebwePiga alinachaEnda nguuEnd na elelengomaPata afueniEnda shotiTia makaliPasua mbarikaKufa ganziKufa na kupona Piga mbiziPamba motoKufa moyoTia fitinaPata jikoHana budiMkono birikaFua dafuNomino makundi (msamiati)/nomino jamiiKutolea mifanoThurea au kilimia nyotaKichala-matundaBunda- notiKigaro – askariJopo – waandishiBumba- nyuki, majani, chaiGenge – wezi, wafanyakaziHalmashauri – shuleBiwi – taka, simanziAsumini-mauaTano-chokaaMshumbi-waliTathmini mufti uk 231SURA YA SABAUfahamu: mhangaKusoma taarifa ipasavyoKuchambua picha kitabuniKueleza maana na matumizi ya maneno magumuKutunga sentensi kwa kutumia maneno magumuMufti uk 234-235Sarufi: matumizi ‘na’Kiunganishi NA huambatanishwa na kiwakilishi nafsi kuonyesha PIA NA PAMOJA NA Hutumiwa pamoja na 0-rejeshiNafsiNgeli Na + o- rejeshi A – WA na+ye—naye________naoKI –VIna + cho—nacho_____navyoLI –YA na + lo—nalo______nayoU – Ina + o—nao__________nayoU – ZI na + o—nao_________nazoI – I na+ yo—nayo_________nayoU – U na + o—nao________naoU – YA na+o—nao________nayoYA – YA na +yo—nayo______nayoI – ZI na + yo—nayo________nazoKU na+ko—nako_________nakoPAKUMU na+po na+ko na+moTathmini mufti 237-238Kusikiliza na kuongea: misemo na nahauNahau ni fungu la maneno ambayo yakipangwa huleta maana isiyoonekana wazi mpaka ifafanuliweMifanoMkono mrefuPata jikoKuna kichwaChanda na peteChezea shereTia kiwiKumpa mkonoJimbi la kwanzaMkono wa tahaniaKuwa mafuuPonda wa fisiTathmini uk 238-239Msamiati: akisamiNi sehemu ya kituMifano1/2 - nusu1/3 –thuluthi? -robo1/5 –humusi1/6 – sudusi1/7 – subui1/8 – thumni1/9 – tusui1/10 – ushuriTathmini mufti uk 239SURA YA NANEUfahamu: barua ya kazamoyoKueleza vigezo vya barua ya kirafikiKusoma taarifa kwa sautiKubaini msamiati kwa sauti vilivyoKueleza fani nyinginezo zinazotumika katika barua ya kirafikiMufti uk 243-245Sarufi:A-unganifuKijineno kinachotokana na kuambatanisha A na herufi tofauti kwa kutegemea ngeliJedwaliNgeli A-unganifuA – WA wa - waKI – VI cha - vyaLI – YA la - yaU – I wa - yaU – ZI wa- zaI – I ya - yaU – U wa - waU – YA wa - yaYA – YA ya - yaI – ZI ya - ziKU kwa - kwaPAKUMU pa – pa , kwa – kwa, mwa - mwaTamrithi mufti uk 246Kusikiliza na kuongea: methaliMethali ni utungo wa kisanii wenye maana ficheKueleza hatua ya kufafanua methaliMaana ya juuMaana ya ndaniMatumiziKueleza maana ya methali pamoja na matumiziMufti uk 246-248Kuandika: shairiShairi ni utungo wa kisanii wenye mahadhiMambo ya kuzingatiaAina za mashairiTathminaTathniaTathlithaTarbiaTakhmisaTasdisaUtenziNgonjeraNyingineVinaMizaniMleoKibwagizo/kipokeo/kiitikioMalengaManjuUkwapiUtaoMwandamiziMshororoUbetiMlotoMsamiati: teknolojiaKutaja vitu vinavyohusu teknolojiaKueleza faida na madhara ya teknolojiaMifanoTarakilishiRununuMtandaoTovutiruningaArafaKipepesiBaruamemeKambaruaWinchiKiyoyoziPangaboiMawimbiTathmini uk 250SURA YA TISAUfahamu: ujambazi utakomaKuchambua picha kitabuniKusoma taarifa kwa sautiKueleza matumizi na maana ya maneno magumuKutunga sentensi kwa kutumia maneno magumuMufti uk 253-254Sarufi: vieleziNeno linaloeleza jinsi kitendo kilivyotendeka au kufafanua zaidi kuhusu kitendoAina za vieleziWakatiNamnaJinsiMahaliIdadiVuhusishiTanakaliTakririTashbihiHutumika kwaLini- wakatiWapi – mahali Vipi – jinsi au namnaKiasi gani- idadiMifanoWakati mahali namnaLeo nyumbani taratibuKesho darasani harakaharakaJuma ijayo Nairobi ghaflaMtondogoo machoni kivivuTathmini mufti uk 258Kusikiliza na kuongea: sentensi zenye taksiriKueleza maana ya taksiriAsome sentensi alizokosea mwenyeweMufti uk 259Kuandika: mkato wa manenoHuhusu nomino pamoja na vimilikishi vyote vitatuMifanoBaba + yake_____babakeDada + yake _____dadakeNyanya + yenu ____nyanyenuShangazi + yake _____shangaziyeKaka + yako _______kakakoMjomba + yake _______mjombakeTathmini mufti uk 260 Msamiati: maana ya misemoMisemo ni maneno yenya maana ficheMifanoLaza damu –zembeaUma kidole – jutaKuna kichwa – fikiliaPiga jeki – saidia Jitolea mhanga –jibidiishaKiguu na njia – tembeaKubali shingo upande – bila ya hiariKonga raho – kata kiuMufti uk 260SURA YA KUMIUfahamu: uwanda wa teknolojiaKuchambua picha kitabuniKueleza maana na matumizi ya misamiati kama ilivyotumiwaKueleza lengo la handithiMufti uk 264Sarufi: matumizi ya ‘katika’, ‘ni’ , ‘kwenye’Hivi ni vihusishi vya mahaliHutumiwa kuonyesha kuwapo kwa kitu kilichotajwa mahali FulaniNgeli hubadilika hadi PA KU MU Kuhimiza kuwa ni kosa kutumia hivi vihusishi pamojaKuambatanisha nomino na vivumishiVivumishiDarasadarasaniViashiriaVimilikishiOte OoteEnyeweEnyeIngineSifaHili, hilo, lileLangu, lako, lakeLoteLoloteLenyeweLenyeJingineZuri, jema, bayaEupe, eusiHalinaHapa, hapo, palePangu, pako, pakePote, kote, motePopote, kokote, momotePenyewe, kwenyewe, mwenyewePenye, kwenye, mwenyePengine, kwingine, mwinginePazuri, kuzuri, mzuriPeusi, kweusi, mweusiHapana, hakuna, hamnaTathmini mufti uk 266Kusikiliza na kuongea: salamu na maakiziKuelezea kuhusu maamkizi na salamuMaamkizi majibuMasalkheri alkheriSabalkheri aheriHujambo sijamboWaambaje sina la kuambaMakiwa tunayoSalaam aleikum aleikum salaamMaagano majibuAlamski binuruUsiku mwaka wa burahaNdoto njema za mafanikioLala unono jaalaBuriani dawa Mufti uk 267Kuandika: vitaweNi maneno yenya maana zaidi ya mojaWatunge sentensi ili kuonyesha tofautiMifanoKitaluHemaVuaShukaKataKitaraKipusaPasiKangaMlangoPaaChumaPandaPajiMotoRandaOtaKaa Msamiati: misemoEleza maana ya misemoAndika misemo iliyoanzia kwa ‘shika’Ufahamu:unonoKuchambua picha kwa kitabuKusoma taarifa kwa ufasahaKueleza maana ya maneno magumuKutunga sentensi kwa kutumia maneno magumuMufti uk 272-273Sarufi:viuliziManeno yanayotumiwa kuuliza maswaliMifanoNani: hutumika katika ngeli ya A – WA kujua cheo, jina , ukoo wa watuNini: kujua ni kitu cha aina ganiHutumika katika ngeli zote isipokuwa ya A - WAGani:kujua aina , jamii, hali au tabiaLini: kiulizi cha siku au wakatiHutumiwa kutaka kujua kipindi, siku au wakati wa tukioWapi:ni kiulizi cha mahaliVipi:kiulizi cha namna ganiJe ni neno la kuanzisha swaliNgapi:kuuliza idadi kamili ya vitu , vyombo katika jumlaPi: kubainisha kati ya nyingi ili kupata kihusika au mhusika Fulani mahususi mufti uk 276Kusikiliza na kuongea: sauti zenye matumizi mbalimbali ya kiambishi kikueleza matumizi ya kiambishi kimashartiwakati endelezingelikielezi namnalugha udogokiwakilishitathmini mufti uk 276-277Kuandika: sentensi zenye vivumishi sahiivivumishi ni maneno yanayotumiwa kuelezea zaidi kuhusu nominoaina za vivumishiA -UnganifuSifaPekeeViuliziIdadiVimilikishiViashiriaMsamiati: madiniVito ni madini ya thamaniMfanoDhahabuFeruziAlmasiLuluKuelezea kunapopatikana madini mengineShabaUlangaYakutiJohariFedhaChumaRisasiChokaaFelejiMataleAsbertoMufti uk 278SURA YA KUMI NA MOJAUfahamu: karamu ya risasiKuchambua mchoro kitabuniKusoma taarifa ipasavyoKueleza maana ya matumizi ya maneno magumuMufti uk 283-284Sarufi: mnyambuliko wa vitenziKunyambua ni kurefusha mwisho wa vitenzi katika hali tofautiTendekaTendeshaTendeshwaKatika kauli ya kutendeka vitenzi humalizika kwa ‘ka’Kitenzi kauli ya kutendekaVuka vukikaSahau sahaulikaMaliza malizikaBomoa bomoka Kula kulikaLala lalikaLima limikaPika pikikaSoma somekaFagia fagilikaTathmini mufti uk 285-286Kitenzi tendesha kauli ya kutendeshwaLala laza lazwaPika pikisha pikishwaKimbia kimbiza kimbizwaRudi rudisha rudishwaToa toza tozwaOta otesha oteshwaOa oza ozwaSoma somesha someshwaTamrini mufti 287Kusikiliza na kuongea: sentensi za vitaweManeno yenye maana zaidi ya mojaMifanoJuaMezaMbuziKuchaMtoKaaMoriGandaRandaMlangoChuraKaro PaaMufti uk 289-290Kuandika: sentensiKusoma sentensi na kuzikosoaKusanifisha maneno kama vile Momonyoko- mmomonyokoArthi- ardhiNjozi mbili – jozi mbiliIlituishi – ili tuishiMufti uk 290Msamiati: wizara mbalimbaliWizara ni idara kuuya serikali inayosimamiana kushughulikia maswala au mambo ya nchi au ya kitaifa kwa kuongozwa na waziriwizara ya fedhawizara ya mambo za nchi za kigeniwizara ya afya wizara ya ugatuziwizara yahabari na mawasilianowizara ya ardhiwizara ya biashara na viwandawizara ya nishatiwizara ya kilimo wizara ya barabara, ujenzi na uchukuziwizara ya utaliiwizara ya majiwizara ya mazingiramufti uk 291-292SURA YA KUMI NA MBILIufahamu: magazeti na majaridakusoma magazeti na majarida yanayohusumaswala ya uongozimambo ya uchumi na maendeleomichexo na burudanimaisha ya jamii na maadili haki za watotoutunzaji wa mazingiraMufti uk 295Sarufi: ukubwa na udogoManeno katika hali ya ukubwa huwa ni kukipa kitu ukubwa usio wa kawaida na pia maneno katika hali ya udogo ni kukidunisha kitu kuliko hali ya kawaidaNgeli pia hubadilika katika hali ya ukubwa na kuwa LI- YA ,na katika hali ya udogo huwa KI – VINjia tofauti za kubadili maneno katika ukubwa na udogo noKudodosha – mw, ny na kutia jMfanong’ombe – gombeMkono – konoNdama – damaKudodosha herufi moja na kutia jiMfanoMji – jijiKudodosha ki na kutia jiMfanoKisu – jisuKuongeza ji bila kudodoa chochoteMfanoJicho – jijichoKutia j kwa nomino zinazoanza kwa irabuMfanouso – jusoUta – jutaMsamiati: ukoo/mlango/akraba/ahaliNi uhusiano wa kinasaba, kiala au kiduguMfanoMwanyumbaWifiMkemwenzaMkoiBinamu/bintiamuMwamuBavyaaMavyaaMpwaKilembwemlungiziMjomba/hauMkaza mjombaShangazi/amati/mbiombaBamkweMamkweKivyereMjukuuKitukuuKilembwekezamnunatathmini mufti uk 301 , KDD 9INSHAMUHULA WA PILIINSHA ZA MASIMULIZI: HUZUNIInsha humhitaji kuelezea kisa kinachoonyesha huzuni na wogaInsha nyingi huhusu mikasa au masaibu kwa watuVisawe vya mikasa ni balaa, janga , balaa, baa, visangaMikasa yote hutokea kama ajaliZilizalaAjali barabarani au anganiMlipuko wa bomuUkameMaporomoko ya ardhiMotoUgaidiYanayozingatiwaMahali pa mkasa Jinsi tukio lilivyotukiaKushiriki kwakoUchunguzi na matokeoTanbihi : mahali pa tukio – hotelini , mwituni, ofisini, kituo cha mafuta, kiwandani, shuleni, dukakuu, barabarani, ufuoni mwa bahari, chumba cha maabaraMapamboMlipuko – mfyatuko, mwatuko, mngurumo, Ulikuwa mlipuko wa kuatua moyo/mtimaKushtuaKuogofyaKutishaUlikuwa mlipuko wa jiko la gesi/umeme/gari/bomba la mafutaKelele: usiahi, unyonge, kamsa, ukwezi, mayowe, ukwenjeVilio vya –kusinasina, cha shake, kikweukweuKwikwikwiIwapo ni bomu, moto, ajali ya ndegeMoto ulirindima na kutatarisha majengoMabiwi/mashungi ya motoMavunde/mawingu ya moshi yalitanda koteVukuto la moto liliongezeka badala ya upepo kuvuma kwa hasira/ghamidha/hamaki/ghadhabuNilijitoma ndani ya nyumba kuwanusuruNahodha hodari haogopi motoKwa muda wa bana banua sehemu ile ikawa kama tanuri/joko/jehanamuJingo hilo liligeuzwa na kuwa majivuMoto/nari ilifakamia majengo kama nzige wavamiavyo shamba la mihigoMuda si muda, muda kiduchu, kutia na kutoa, fumbo fumbua,bana banua, kuku kumezaPunje paka kunawia mate, punda kunawia mavumbi, Wengine walichomeka kiasi cha kutotambulikaVilio vilinywea na sauti kuwapweleaTulipirikana na kupitana katika juhudi/hekaheka/pilikapilika za kuuputa moto kuwaokoa wahasiriwaHuzuniMikasa kwa jumlaMilio ya ving’ora vya makaradinga ya polisi, ambulensi, magari ya zima moto ______tanda/tamalaki/tawala angaManusura/mahututi/majeruhi walipelekwa hospitalini/zahanatiniWalipewa hudum ya kwanza/ya dharuraWafu walipelekwa mochari/ufuoni/makafariPaparazi walizuka kama mizuka na kupeperusha picha sawia na matukioWanahabari walitangaza matukio ya mkasa redioni/runingani/magazetiniWengine walisali/walipiga dua zisizoelewekaKwa nyota ya jaha/bahati ya mtende/kwa sudi ___wasamaria wema____msalaba mwekundu__wanajeshi____zimamoto____wakasaidia kuokoaBasi lilipiga danadana na kuanguka bondeni ziwani/bahariniTulifanya wanguwangu/himahima/chapu chapu/yosa yosa/ hala hala/mwendo wa arubiliBila shaka tukio hilo halitafutika moyoni/sitalisahau daima dawamuNiltamani ardi inimeze mzima mzimaNilitamani kulia nikacheka nikaliaMachozi yaligomaMethaliNgoja ngoja huumiza matumboChelewa chelewa utampata mwana si wakoFimbo ya mbali haiui nyokaHeri jirani wa karibu kuliko ndugu wa mbaliAkufaaye kwa dhiki ndiye rafikiMbiu ya mgambo ikilia kuna jamboMja hakatai wito hukataa aitiwaloAjali haina kinga wala kafaraTahadhari kabla ya hatariNahodha hodari haogopi motoBARUA RASMIPia huitwa barua ya kiofisiHuandikwa kuhusu jambo rasmiHuandikwa iliKuomba nafasi ya kaziKuomba nafasi za masomo shuleni au chuoniMaombi ya msaada kutoka kwa serikaliKuomba msamaha au radhiMalalamishi kuhusu jambo FulaniBarua rasmi ina sehemu zufuatazoAnwaniAnwani mbili – ya mwandishi na ya mwandikiwaAnwani ya mwandishi huandikwa tareheKianzioSehemu hii huandikwa bwana (BW) au bibi (BI), Mkurugenzi mkuuu, mwalimu mkuuMtajoNi kichwa cha barua ambacho huashiria lengo au madhumuni kwa ufupiKumbukumbu – KUMBMintarafu – MINTKusudi – KUSKuhusu – KUHYahusu – YAHKichwa cha barua rasmi hupigiwa mstariMwiliHuelezea zaidi kuhusu kusudi ya barua na lengo hasa kuandika baruaMtahiniwa huhitajika kuelezea kuhusuElimu yakeWasifukwani haambatanishi stakabadhi zozote zileTanbihiInsha yoyote ile lazima itimize ukurasa na nusuTamati/mwishoHumalizwa kwa Wako mwaminifuSahihiJinaMtindo wa barua rasmi SHULE YA MSINGI YA LIZAR, S.L.P 93, NAIVASHA, NOVEMBA 18, 2015.MWALIMU MKUU,SHULE YA UPILI YA ALLIANCE,S.L.P 2003,KIKUYU. Kwa Bwana/Bi – kianzomtajo-MINT: NAFASI YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA mwlili hitimisho – wako mwaminifu sahihi jinaMsamiatiNina furaha kukuandikia _____Ninasikitika ninapokuandikia waraka ________Ningependa kuchukua fursa hii ______Kwa mujibu wa ilani ___katika gazeti, runinga, mabangoShule yako imetajwa na kutajika katika ____michezo, elimu, bidhaa boraShirika/kampuni imeipa kipaombela swala la_________Nina nidhamu na taadhima ya hali ya juuVyeti vyangu pamoja na wasifu vimeambatanishwa na warakaNitakuwa kielelezo dhabiti kwa wenzanguNina talanta katika fani ya riadha ____Ni matumaini yangu kuwa utaupokea waraka huu ____BARUA YA KIRAFIKI/KIDUGUHuhusu kupatiana mwaliko, kujuliana hali, kufahamisha au kuarifu kuhusu jamboSehemu muhimu za barua hii niAnwani ya mwandishiHuandikwa pembeni kabisa upande wa kulia sehemu ya juuHuwa na jina la mwandishi , mahali anakoishi, sanduku laposta na tareheKianzioHudhihirisha Yule anayeandikiwaHubainisha uhusiano wake na mwandishiMfanoKwa mpendwa ______Kwa mwanangu mpendwa __________Kwa mpenzi wangu _____________Kwa sahibu/muhibu __________UtanguliziHaya ni maamkizi kwa yule anayeandikiwaMfanoPokea salamu – sufufu, furifuri, tolatolaNyingi kama nyota angani, mchangaMimi ni bugeri wa afyaMzima kama chuma cha pua / ngarange za mvuleNina buraha na furaha/furaha na bashashaNina imana kuwa Mola/Mkawini/JalaliNina matumaini kama tai kuwa u buheri wa afya/siha/zihi.raiMethaliAma kweli/yakini/waamaWaraka ni nusu ya kuonanaAfya ni bora kuliko maliMwiliSehemu – hii hubeba ujumbe wa mwandishiWema – ninaomba unitendee fadhila/jamalaNinashukuru kwa wema ulionitendeaUtiifu – ninakuhakikishia kwamba nitakuwa na utiifu, nidhamu na bidiiLengo au azma ya kukuandikia waraka huu niWaraka huu ni kukujulisha kuwa Ningependa kukujuza kuwaTamatiNingependa kutia nanga kwa kukuelezea kuwa __________Kwa kuwa wasaa umenitia kumbu/mudaUmenipa kisogo, ningependa kutia kitoneNinakunja jamvi kwa msemo usemao _________Kalamu yangu inalilia wino __________Ndimi mzazi wako ___________Wako wa moyoni ___________ni wako mpendwa____________Ndimi mwana wako mpendwa ___________Sampuli BIDII FAULU,S.L.P 93, NAIVASHA. 18-11-2015Kwa sahibu yangu, fundi msanifu ,Utangulizi_____________________________________MwiliHatima Ni mimi wako, Jina la mwandishiINSHA ZA MASIMULIZI – FURAHAFuraha inaweza kutokana na matukio mbalimbali kama vileSherehe –harusiSiku ya kuzaliwaMahafaliSiku kuu ya krismasiKwenda ughaibuniMatokeo mazuri ya mtihaniMadaSiku ya sikuAkidi ya kufanaSherehe ya kukata na shokaSiku ya ndovu kumla mwanaweShamrashamra za ______Msamiati na mapamboMaua ya kila nui/ainati – asmini ,mawaridi afu, nangisiUkumbi wa mahema , jumba kubwa ,uwanjaVipasa sauti/mikrofoni –vilihinikiza /sheheniMuziki wa kuongoa ongoa ulitamalaki katika angaVyakula – mapochopocho/maakuli yaliyotishia kuangusha mezaVinywaji vya kila jamii yalipenyeza kisirisiriMkalimani/mtarijumani alitafsiri haya yoteKiume – mtanashatiKike – mlibwede, spoti , mrembo kama mbegaBinti alikuwa mrembo mithili ya hurulaini aliyeasi/toka peponiAlitembea kwa mwendo wa dalji/mwendo wa twiga wa savannaMwanaume mrefu njorinjori /mrefu kama unju/weusi kama kanikiUdohoudoho , chipsi, bisi, kripsiWaja walisakata rumba/dansi/tibwirika kwa miondokoMsafara /mlolongo wa mashangingiWalikula kiapo/yamini/vishana pete huku shangweWalipigana pambajaPofushwa na vimulimuli vya wapiga pichaWaja walijaa furifuriIlikuwa dhahiri shahiri kuwa ningefua dafuNilidamka wanguwangu kwa kuubwaga mgolole wangu na kuanza hamsini zanguKuche kusiche hatimaye kulikuchaAmka bukrata kicheaNiliamka asubuhi ya MunguWaja walisalimiana kwa furaha na farahaniFuraha sufufu ilinitinga si kidogoVyakula vya kunoga na kuhomolewa viliandaliwa na wapishi wajuziVicheko vilipamba moto jari mojaWatu walichangamka na kukaramka kwa bashashaNilivalia meli zangu mpya zilizometameta kama mbalamweziUtamu wa malaji ungemfanya mtu kuramba viwiko vya mkonoMethaliHauchi hauchi huwaHayawi hayawi huwaSiku njema huonekana asubuhiBaada ya dhiki, farajaMtu ni watuMgaagaa na upwa hali wali mkavuTashbihiShirikiana kama kinu na mchi, kiko na digali, soksi na kiatuLazima kama ibadaKawaida kama shariaBidii kama mchwa ajengaye kichuguu/kishirazi/kidurusiBidii za msumeno ukerezao mbaoBidii ni duduvule agatoye gogo la mtiINSHA ZA MJADALA – TEKNOLOJIAHuhusu mazungumzo juu ya mada FulaniMfano:Maisha ya mashambani ni bora kuliko y mjiniTeknolojia ina madhara mengi kuliko faidaHuhitaji mtahiniwa kuunga mkono hoja moja na kasha kuipinga katika aya inayofuata au kuunga mkono na baadaye kuzipinga hoja zakeInsha hii huwa na MadaUtanguliziMwiliTamatiMada huandikwa kwa herufi kubwa kulingana na swaliUtangulizi huhusu kufafanua mada na kutolea mifanoMwili huhitaji kufafanuliwa kwa hojaKila hoja iwe katika aya yakeHitimisho mtahiniwa huhitajikakutoa changamoto au ushauriInsha hizi hutumia viunganishi vya kuongezeaLicha yaAidhaFauka yaZaidi yaPia IsitosheMbali naHali kadhalikaTEKNOLOJIAMaarifa ya kisayansi yaliyowekwa katika matumizi ya vyombo, vifaa na mitambo ya aina mbalimbaliTeknolojia hutumika katikaMitamboZanaVyombo vya usafiriKilimoUfundiNjia za mawasilianoUmuhimu wa teknolojiaUtafiti wa kisayansiKurahisisha kaziElimuKilimo na ufugajiMichezo na mashindanoBiasharaUsafiriMawasilianoUsalamaUsafi wa mazingira na afya ya mwiliMawasilianoVyombo vya mawasiliano kama tarakilishi, redio , televisheni na redio hutumikaHutupasha habariHutuepusha na maafaKuelimishaMethaliKipya kinyemi ingawa kindondaKiingiacho mjini si halaliUtafitiWataalamu wamegundua dawa za ndweleMashine/mitambo ya kurahisisha kaziMambo ya kuchunguza hali za angaDawa za kuzuia mimbaUkiona vyaelea jua vimeundwaElimuVyombo na vifaa vingi hutumiwa shuleni Matumizi ya mtandaoKanda za videoMethaliElimu ni bahariElimu ni taa gizaniMali bila daftari hupotea bila habariUsalamaZana za vita hutumiwa kutulinda dhidi ya maaduiDonge nono pia hupatikana baada ya kuuza vbifaaMethali – tahadhari kabla ya hatariKilimo na ufugajiPembejeo- mbegu, mbolea, dawaMashine za kulimia na kupulizia dawaGhala za kuhifadhi mazaoMethali – tembe na tembe huwa mkateUsafiriVyombo vya majini, nchi kavu, anganiHuenda kwa kasiHuokoa wakatiMethali – ngoja ngoja huumiza matumboMadhara ya teknolojiaHuleta maradhiHuleta maafaMmonyonyoko wa adabu/maadiliHuleta uzembe kwa wanafunziPunguza nafasi za kaziKuiga tabia mbovu kwa vijanaVitaMETHALI ZA KUTOHADAIKAChanzo cha matatizoAlipovunja ungo/balegheAlipovuka kizingiti cha lango la shule, chuo kikuu ______ maisha yake yaliingia ufaAlopowachagua marafiki vichwa maji/nyamafu ______Alianza kujipalia makaa kama chachandu pwezaMambo yalianza kumwendea tenge/shote/shoro/mvange/msobe msobe/upogo upogoKufilisika – hana be wala te , hana kazi wala bazi/hana hanani, fukara fukarikeKushikwa – kuhaha na kugwaya, kutweta na kuhema, pumzi juu juuAlitamani dunia ipasuke na kummeza mzima mzimaKamasi ilimtonatona puani kama matone ya mvuaAlinaswa/tiwa vituku/pingu/lishwa kalendaAibu – shikwa na haya/soniIva usoVunja usoKichwa kifuani kama kondooTeseka – alikula mumbi/mavi/kwataAlifunzwa na ulimwengu usiokuwa na hurumaKitumbua kiliingia mchangaAlitekwa bakunja/pubazwa na ____Urembo/fedha/sura/jamaliVipokezi vya methaliYakini_____Taibu_____Ama kweli_____Chambilecho wahenga______Wahenga na wahenguzi______________Nakubaliana na wazee wa kale__________ULANGUZI WA DAWA ZA KULEVYAUtekaji nyaraMapamboUzuri wa siku/mtu – siku ilikuchja vizuri/upepo mwananUmande ulimeremeta metumetu kama nyota anganiNdege walikorokocha na kughani lahani nzuriNwele zake za nyufa., kiuno cha nyigu, meno ya mchele, pangika kama luluSauti nyororo kama ya ninga/mwewe/kinanda/hurulaini wa peponiMwendo wa dalji/twiga wa savannaKutosikia nasahaJuhudi zangu za kumwonya/kumnasihi _____Ziligonga mwaba/paramia mwamba/ambulia pang’anda/tupwa kapuniUdekezaji – alimwengaenga/alimlea kwa tunu na tamashaKumwasa motto kulikuwa jambo tukizi/nadra/dimuAkawa haskii la mwadhini wala la mteka maji msikitiniAkatia maskio komango/nta/pambaKuwa sikio la kufa lisilosikia dawa/cha kuvunja ambacho hakina rubaniMETHALI ZINAZOONYA KUHUSU TAMAA NA UZURI WA NJETamaaHamu kubwa ya kupata kitu, jambo, au hali FulaniVisawe – uchu, ashiki, shauku, hamu, ari, nia, hanjamu, nyege, ukware, ghaidhi, raghbaMethali za tamaaTamaa mbele mauti nyumaMkamia maji hayanywi, akiyanywa humsakama kooMwenye pupa hadiriki kula tamuMpanda farasi wawili hupasuka msaba/mwarandanjia mbili zilimshinda fisiMwangata mbili moja humponyokaMchovya asli hachovyi mara mojaMtaka yote huksa yoteUsiache mbachao kwa msala upitiapomethali za uzuri wa nje Uzuri wa mkakasi ndanikipande cha mtiSihadaike na rangi tamu ya chai ni sukariNyumba nzuri si mlango, ingia ndaniKikulacho ki nguoni mwakoIbilisi wa mtu ni mtuUzuri wa kuya ndani mabuuVyote viowevu si majiMaudhuiMarafiki hadaa – ndumakuwili/mzandikiKutoaminiana katika ndoaAhadi za uongo – mchezo wa karataUrembo ambao ni handaaINSHA YA HOTUBAHotuba nin maelezo yanayotolewa ili kupitisha ujumbe FulaniAnayetoa hotuba huitwa katibuUmati unaosikiliza huitwa hadhiraHuanza kwa mlahaka/salamu kwa kutambua vyeo kuanzia wa juu mpaka wa chini , sababu ya mkutanoAlama za kunukuu hutumiwaHotuba inaweza kuwa yaMwanafunzi akihutubia shuleniMwalimuMwalimu mkuuu wa wazazi shuleniDaktari au afisa wa afyaRais wakati wa maadhimisho ya mashujaaWazirin wa usala, afya na ugatuziMfano wa utangulizi“mgeni wa heshima, mkuu wa elimu gatuzini, mkaguzi wa elimu, mwenyekiti na maafisa wa elimu na wanafunzi, hamjambo?‘Mwalimu mkuu, naibu wa mwalimu mkuu, walimu wenzangu, viranja na wanafunzi, sabalkheri?Mapamboninazo bashasha/furaha/burahaNimesimama kidete/tisti/imara kama chumaCha pua/ngarange za mvule/kiini cha mpingoNitawandondolea hoja zangukuanzia utando hadi ukoko,shinani hadi kileleniRejelea hadhira mara kwa mara – nanyi, enyi wazazi, nasi wanafunziTamatiNingependa kutia kitone/nanga/kukunja jamvi kwa msemo usemao _____Ninawamiminia shukrani tolatola/fokofokoKwa kutulia kama maji mtungini/maziwa kitomaniKwa kuwa lililo na mwanzo halina budi kuwa na mwishoNinawatakia Baraka njema za Mualana/ninawatakia mbawazi za mkawini mbinguDAWA ZA KULEVYANi kitu chochote kinachoathiri fahamu za mwili na afya ya mjaMifanoKokeiniMandraksiBangiGanjaMiraa au mirungiTumbakoAthari za dawa za kulevyaKuvuruga akiliMtumiaji hugeuka na kuwa mkia wa mbuzi/juha/kaluluKupata ujasira bandiaMja huwa katiliHujiingiza katika visanga kama wiziHudhuru afyaMhasiriwa kama ng’onda/kimbaumbau mwiko wa pilauSura huumbuka na kusawijikaHusababisha sarataniKuenea kwa magonjwa ya zinaaMethali Kinga ni bora kuliko tibaTahadhari kabla ya hatariutovu wa nidhamuwatumiaji husheheni matusihutabawali kadamnasikuvalia mavazi mafupimethalimwacha mila ni mtumwausiache mbachao kwa msala upitaokuzorota kwa uchumimtu binafsi hutumia njenje zotewatoto hawatimiziwi mahitajifilisha mja- akabaki hana mbele wala nyumauchumi wan chi huzorotabaada ya kutumia pesa kuwatibu wahasiriwahusababisha uraibuhuleta wizihusababisha uzembemadereva kusababisha ajalikupata magonjwa ................
................

In order to avoid copyright disputes, this page is only a partial summary.

Google Online Preview   Download