Maana ya mofolojia pdf - Gold Dust

(a) Mofimu Kwa mujibu wa Matinde (2012:101) mofimu ni maana inayowakilishwa na mofu. Pia mofimu ni dhana ambayo ni sehemu ya umilisi kwa watumiaji wa lugha husika. Mofimu ni vipashio vidogo vya msingi vinavyotumika katika kuunda maneno ya lugha. Mofimu ni vipashio vinavyoonyesha uhusiano uliopo kati ya sauti msingi za lugha yaani ................
................