FARIDA HASSAN KYABALISHANGA - Open University of Tanzania

KUCHUNGUZA SANAA NA DHIMA ZA METHALI ZA WAHAYA

FARIDA HASSAN KYABALISHANGA

TASINIFU ILIYOWASILISHWA KWA AJILI YA KUTIMIZA SEHEMU YA MASHARTI YA KUTUNUKIWA SHAHADA YA UZAMILI YA KISWAHILI

YA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA 2018

ii

UTHIBITISHI Aliyetia saini hapa chini anathibitisha kuwa ameisoma tasnifu hii iitwayo: "Kuchunguza Sanaa na Dhima za Methali za Wahaya" na ameridhika kwamba tasnifu hii imefikia kiwango kinachotakiwa na inafaa kuhudhurishwa kwa ajili ya utahini wa Shahada ya Uzamili yaani (M.A) Kiswahili ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Dar es salaam.

.................................... Prof. Tigiti. S. Y. M. Sengo

(Msimamizi)

............................... Tarehe

iii

HAKIMILIKI Sehemu yoyote ya tasnifu hii hairuhusiwi kukaririwa, kuhifadhiwa kwa njia yoyote ile au kuwasilishwa kwa mbinu yoyote ile ya kieletroniki, kunakilisha bila kupata idhini ya muandishi wa tasnifu hii au Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kwa niaba yake.

iv

TAMKO Mimi Farida Hassan Kyabalishanga nathibitisha kwamba tasnifu hii iitwayo `'Kuchunguza Sanaa na Dhima za Methali za Wahaya'' ni kazi ya juhudi zangu mimi mwenyewe na kwamba haijawahi kuhudhurishwa popote pale kwa lengo la kufuzu shahada kama hii.

....................................... Saini

................................. Tarehe

v

TABARUKU Mimi Farida Hassan Kyabalishanga, naitabaruku kazi hii kwa Mume wangu Kipenzi, Faraj A. Tamim, kwa upendo na moyo wa dhati kwangu Juhudi zako zimekuwa muongozo wangu katika kufikia hatua hii. Ahsante sana Mume wangu Kipenzi nitakukumbuka katika maisha yangu.

Kazi hii haitokamilika bila kukupa shukrani na pongezi za dhati Mume wangu Kipenzi, Faraj Abdallah Tamimi, Mwenyezi Mungu akuepushe shari akujalie kheri na akulipe hapa duniani na Akhera.

Pia kazi hii naiweka wakfu kwa mwanangu kipenzi, Faridi Juma Nyaigesha ili aje kuiendeleza pale nilikoishia.

Kazi hii naitoa zawadi kwa mwanangu wa pekee Faridi Juma Nyaigesha ili asiwe mbali na mila na desturi, aziheshimu na azilinde pamoja na Wahaya wote wanaopenda na kuthamini utamaduni wao.

................
................

In order to avoid copyright disputes, this page is only a partial summary.

Google Online Preview   Download