JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BARAZA LA SANAA LA TAIFA FOMU ... - BASATA

[Pages:11]JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BARAZA LA SANAA LA TAIFA

BST/F.Na.001a

FOMU YA MAOMBI YA USAJILI KWA MSANII BINAFSI ILI KUWEZA KUENDESHA SHUGHULI ZA SANAA TANZANIA BARA

(Usajili wa watu binafsi/vikundi /Vyama, nk. Kanuni ya 27)

A: TAARIFA BINAFSI

1. Jina Kamili la Msanii .............................................................................................................. 2. Jina la Kisanii (a.k.a)......................................................................................................................... 3. Jinsia (ME/KE).............................................Uraia ........................................................ 4. Anuani kamili ya Posta.......................................... Simu ...............................................

Barua pepe................................................................................................................ 5. Mahali unapoishi

(i) Mtaa........................................................................... (ii) Kata ya ......................................................................... (iii) Wilaya ya....................................................................... (iv) Mkoa wa.........................................................................

6. Maelezo kamili ya aina ya shughuli ya Sanaa/Fani husika unayofanya .............................................................................................................................. ..............................................................................................................................

7. Weka alama kwenye Sanaa ( fani ) husika unayofanya

Muziki Maonyesho

Ufundi

8. Orodhesha majina ya wadhamini (i)Jina Kamili.............................................................................................................. Uhusiano.................................... Namba ya Simu...................................................

(ii) Jina Kamili............................................................................................................ Uhusiano.................................. Namba ya Simu ..................................................

(iii) Jina Kamili........................................................................................................... Uhusiano.................................. Namba ya Simu ...................................................

B: UTHIBITISHO

Nathibitisha kuwa maelezo yote hapo juu ni ya Kweli na yananihusu mimi . Iwapo taarifa hizi sio sahihi naomba ichukuliwe hatua za kisheria . Jina kamili la mwombaji......................................................................................................... Saini/ Mhuri ............................................................ Tarehe................................................

C: KWA AJILI YA MATUMIZI YA OFISI TU:

OFISI YA MSAJILI - BASATA Idhini imetolewa/haikutolewa kwa sababu zifuatazo.................................................................... Saini/ Mhuri ............................................................ Tarehe................................................

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BARAZA LA SANAA LA TAIFA

BST/F.Na.001b

FOMU YA MAOMBI YA USAJILI KWA KIKUNDI ILI KUWEZA KUENDESHA SHUGHULI ZA SANAA TANZANIA BARA

(Usajili wa watu binafsi/vikundi /Vyama, nk. Kanuni ya 27) A: TAARIFA ZA KIKUNDI

1. Jina Kamili la Kikundi ........................................................................................................... 2. Anuani kamili ya Posta.......................................... Simu .............................................

Barua pepe...............................................................................................................

3. Mahali /Eneo ambalo kikundi kinafanya shughili zake (i) Mtaa........................................................................................................... (ii) Kata ya ....................................................................................................... (iii) Wilaya ya..................................................................................................... (iv) Mkoa wa.....................................................................................................

4. Maelezo kamili ya aina ya shughuli ya Sanaa/Fani husika unayofanya .............................................................................................................................. .............................................................................................................................. ..............................................................................................................................

5. Orodhesha majina ya vongozi (i)Jina Kamili................................................................................................................ Cheo/Wadhifa ...................................... Namba ya Simu ............................................ (ii) Jina Kamili.............................................................................................................. Cheo/Wadhifa ..................................... Namba ya Simu ........................................... (iii) Jina Kamili............................................................................................................ Cheo/Wadhifa ................................ ... Namba ya Simu ............................................ (iv) Jina Kamili............................................................................................................ Cheo/Wadhifa ................................ ... Namba ya Simu ............................................

6. Orodhesha majina /taarifa kamili ya wanachama ? (Angalia kiambatanisho katika fomu hii)

B: UTHIBITISHO Mimi.............................................................................. Cheo/Wadhifa......................................... Nathibitisha kuwa maelezo yote hapo juu ni ya kweli na yanahusu kikundi cha........................................... ......................... Iwapo taarifa hizi sio sahihi naomba zichukuliwe hatua za kisheria dhidi ya kikundi chetu. Jina kamili la mwombaji.................................................................................................................. Sahihi/Mhuri........................................................................... Tarehe..........................................

C: KWA AJILI YA MATUMIZI YA OFISI TU: (a) OFISI YA UTAMADUNI (MKOA/WILAYA/MJI/JIJI/MANISPAA)

Kwa taarifa za hapo juu zilizotolewa na Mwombaji, maombi yapokelewe/yasipokelewe kwa sababu ni sawa/siyo sawa hivyo mwaombaji asajiliwe/asisajiliwe Jina Kamili Afisa Utamaduni .......................................................................................................... Sahihi/Mhuri .......................................................................... Tarehe..........................................

(b) OFISI YA MSAJILI -BASATA Idhini imetolewa/haikutolewa kwa sababu zifuatazo............................................................................ Sahihi / Mhuri .......................................................................... Tarehe........................................

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BARAZA LA SANAA LA TAIFA

BST/F.Na.001c

FOMU YA MAOMBI YA USAJILI KWA TAASISI ILI KUWEZA KUENDESHA SHUGHULI ZA SANAA TANZANIA BARA

(Usajili wa watu binafsi/vikundi /Vyama, nk. Kanuni ya 27) A: TAARIFA ZA TAASISI

1. Jina la Kamili la Taasisi......................................................................................................... 2. Anuani kamili ya Posta.......................................... Simu ............................................. 3. Barua pepe................................................................................................................

4. Mahali ilipo: (v) Mtaa............................................................................................................. (i) Kata ya ......................................................................................................... (ii) Wilaya ya....................................................................................................... (iii) Mkoa wa........................................................................................................

5. Maelezo kamili ya aina ya shughuli ambayo taasisi inategemea kufanya hususan katika shughuli za Sanaa ................................................................................................................................. ................................................................................................................................ ................................................................................................................................

6. Taja namba ya usajili .............................................................................................. na mamlaka iliyosajili .............................................(Kama imesajiliwa na mamlaka nyinginezo)

7. Orodhesha majina ya vongozi /Wamiliki (i)Jina Kamili................................................................................................................ Cheo/Wadhifa ...................................... Namba ya Simu ............................................ (ii) Jina Kamili.............................................................................................................. Cheo/Wadhifa ..................................... Namba ya Simu ........................................... (iii) Jina Kamili............................................................................................................ Cheo/Wadhifa .................................... Namba ya Simu ............................................ (iv) Jina Kamili............................................................................................................ Cheo/Wadhifa ................................... Namba ya Simu ............................................

8. Orodhesha majina /taarifa kamili ya wanachama ? (Angalia kiambatanisho katika fomu hii)

B: UTHIBITISHO Mimi ....................................................................................... Cheo/Wadhifa............................... Nathibitisha kuwa maelezo yote hapo juu ni ya Kweli na yanahusu Taasisi ya ........................................... .......................................... . Iwapo sio sahihi naomba zichukuliwe hatua za kisheria dhidi ya taasisi yetu. Jina kamili la mwombaji ................................................................................................................. Sahihi/Mhuri ............................................................................. Tarehe........................................

C: KWA AJILI YA MATUMIZI YA OFISI TU: (c) OFISI YA UTAMADUNI (MKOA/WILAYA/MJI/JIJI/MANISPAA)

Kwa taarifa za hapo juu zilizotolewa na Mwombaji, maombi yapokelewe / yasipokelewe kwa sababu ni sawa/siyo sawa hivyo mwombaji asajiliwe/asisajiliwe Jina Kamili la Afisa Utamaduni ........................................................................................................ Sahihi / Mhuri .......................................................................... Tarehe .......................................

(d) OFISI YA MSAJILI - BASATA Idhini imetolewa/haikutolewa kwa sababu

............................................................................................................................................... .................................................................................................................................................

Sahihi / Mhuri .......................................................................... Tarehe.........................................

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BARAZA LA SANAA LA TAIFA

BST/F.Na.001d

FOMU YA MAOMBI YA USAJILI WA UKUMBI ILI KUENDESHA SHUGHULI ZA SANAA/SHEREHE/BURUDANI TANZANIA BARA

(Usajili wa watu binafsi/vikundi /Vyama, nk. Kanuni ya 27) A: TAARIFA BINAFSI ZA KUMBI

1. Jina la ukumbi .................................................................................................................... 2. Anuani kamili................................................................. Simu.................................... 3. Nukushi.................................................. Barua pepe................................................

4. Mahali ulipo ukumbi a. Mtaa ........................................................................................................... b. Kata ........................................................................................................... c. Wilaya......................................................................................................... d. Mkoa...........................................................................................................

5. Sifa za ukumbi kusajiliwa / ambatisha picha za ukumbi zikionyesha hali halisi ya ukumbi ndani na nje. (a) .................................................................................................................. (b) .................................................................................................................. (c) .................................................................................................................. (d) ..................................................................................................................

6. Daraja la ukumbi unaosajiliwa (Tazama maelezo muhimu 1.0)

A

B

C

7. Ukubwa wa ukumbi unaosajiliwa (Tazama Maelezo Muhimu 2.0)

A

B

C

D

B: UTHIBITISHO Nathibitisha kuwa maelezo yote hapo juu ni ya Kweli na yanahusu ukumbi tajwa hapo juu. Iwapo taarifa hizi sio sahihi naomba zichukuliwe hatua za kisheria .

Jina kamili la mwombaji.................................................................... Cheo .................................. Sahihi na na Mhuri ............................................. ..................... Tarehe....................................

. KWA AJILI YA MATUMIZI YA OFISI TU: (a) OFISI YA AFISA MTENDAJI : Ninathibitisha kwamba maelezo yaliyotolewa na mwombaji ni sawa/siyo sawa kwa hiyo mwombaji asajiliwe/asisajiliwe Jina la Afisa .................................................................................................................... Cheo ............................................................................................................................. Sahihi na Muhuri wa Ofisi ....................................................... Tarehe.................................

(b) OFISI YA UTAMADUNI (MKOA/WILAYA/JIJI/MANISPAA) Ninathibitisha kwamba maelezo yaliyotolewa na mwombaji ni sawa/siyo sawa kwa hiyo mwombaji asajiliwe / asisajiliwe Jina la Afisa .................................................................................................................... Cheo ............................................................................................................................... Sahihi na Muhuri wa Ofisi ............................................................ Tarehe............................

................
................

In order to avoid copyright disputes, this page is only a partial summary.

Google Online Preview   Download