SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI

KISWAHILI

4

SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI

MWONGOZO WA MWALIMU KIDATO CHA DARASA LA NNE MKONDO WA LUGHA

MWONGOZO WA MWALIMU KIDATO CHA DARASA LA NNE MKONDO WA LUGHA

UTANGULIZI

Mwongozo wa mwalimu kidato cha nne ni kitabu cha kumsaidia mwalimu kufundishia kitabu cha mwanafunzi cha kidato cha nne. Mwalimu ana hiari kufuata na kukubali mpango uliopangwa na waanndishi au kubadilisha sehemu nyingine kwa kufuatana na ujuzi wa lugha hii, yaani Kiswahili. Mwalimu anashauriwa ajaribu awezavyo kusoma sehemu ya matayarisho kabla ya kufunza somo lolote. Kutofanya hivyo kutamfanya mwalimu kushindwa kulisomesha somo lake kwa namna na hali ipasayo. Katayarisho hayawezi kabisa kufanywa siku hiyo wala si rahisi kwa vifaa vyote kupatikana siku hiyo hiyo. Kutokana na hayo yote wanafunzi wataweza kusikiliza, kutamka, kuona, kutenda, kusoma na kuandika Kiswahili vizuri zaidi na kwa urahisi kwa sababu mwalimu amejitayarisha vyema. Kitabu hiki kinapangwa katika mihula mitatu (3) ambapo kila mhula huwa na majuma kumi na mawili (12). Katika taratibu ya kila funzo kuna vichwa vya maneno vifuatavyo: funzo, shabaha, vifaa na taratibu. Haya yote ni kutaka kumrahisishia mwalimu kazi yake. Ni muhimu kuielewa shabaha ya kila somo kwani shabaha ndiyo uti wa mgongo wa somo lolote. Kitabu hiki pia, kimetayarishwa kwa ajili ya kurahisisha kazi ya mwalimu ya kufundisha Kiswahili. Tunakuonyesha shabaha za jumla za kila funzo, yanayohitajika kufundishwa kila juma na kila mhula. Namna mwanafunzi na mwanalimu mnavyosaidiana ili somo lenyewe liweze kufikia lengo lake pamoja na vifaa utakavyovitumia kwa kuendeleza somo.

iii KISWAHILI - S4 (Teacher Guide)

MWONGOZO WA MWALIMU KIDATO CHA DARASA LA NNE MKONDO WA LUGHA

YALIYOMO

UTANGULIZI................................................................................................................................................. iii YALIYOMO.......................................................................................................................................................v MPANGILIO WA KISWAHILI KIDATO CHA NNE MKONDO WA LUGHA............................................................................................................ 1 1. Funzo: HISTORIA YA KISWAHILI

(ukurasa 5-13).................................................................................................................................... 5 2. Funzo: FASIHI (ukurasa 14-41)................................................................................................12 3. Funzo: NGELI ZA MAJINA (42-70)...........................................................................................30 5. Funzo: UTUNGAJI (74-77)...........................................................................................................42 6. Funzo: AINA ZA MANENO

YA KISWAHILI (78-86) .................................................................................................................45

v KISWAHILI - S4 (Teacher Guide)

................
................

In order to avoid copyright disputes, this page is only a partial summary.

Google Online Preview   Download