TSC YAANIKA MAFANIKIO YAKE, MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ...

Hongrea sana Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Walimu wana imani kubwa na wewe na wataendelea kukuunga mkono, kazi iendelee. JARIDA LA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU TANZANIA (TSC) APRILI 2022 HABARI 5 Baadhi ya pikipiki zilizonunuliwa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. ................
................