RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMWAGA AJIRA SEKTA YA ELIMU, AFYA

Elimu na Afya, Rais Samia Suluhu Hassan ameamua kuajiri walimu 9,800 pamoja na wahudumu wa Afya 7,612 ili kukabiliana na upungufu wa walimu wa Shule za Msingi na Sekondari katika Mamlaka za Serikali za Mitaa pamoja na watumishi wa Afya katika Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya na Zahanati. Hilo limewekwa wazi kufuatia ................
................